Karibu ndugu!
Ila humu mjadalani tuna sheria naomba usiwe mvivu sana wa kuperuzi hapa na pale.
Inshort hata sisi tulikarbishwa hivyo si vibaya tukafanya hivyo kwako:
Epuka Kashfa na maneno ya kuweza kumdhalilisha mtu.
Post thread katika sehemu husika ili kuondoa mkanganyo kwa wajumbe wengine.
Mengine wajumbe wapo watakusaidia atiii, Kikubwa karibu