Andrew abel
Member
- Dec 6, 2012
- 49
- 4
utasubiri sana kwa mwandiko huo.
16yrs????
Una uhusiano wowote na Abely Mwinuka?
Mwandiko unahusiana nini sasa??!
Huyo wa 16 years unataka umpeleke shule?
Nenda jukwaa husika la wenye uhitaji kama wako ukachague unaweza kupata anayekidhi vigezo vyako na bado akawa hajapata mwenza!!
utasubiri sana kwa mwandiko huo.
Jamani natafuta mchumba age interval 16_23!!
Maana nimechoka sana huku mtaani wananiona mgumu eti cna hcia hawajui kua na act!!! Na mm najua kupenda ila cpendi kuchepuka tena moyo wangu c wa plastic,..aliyeridhia anichek bacccc!!
Umeandika ki.pumba.vu sana. Waache watoto wasome, 16 unajua wpo form ngapi? Unataka kwenda jela dogo.
Kwa uzoefu wangu humu kwenye mitandao huwezi kupata mchumba mkawa serious zaidi ya kupunguziana uzito. Pia kwa age uliyosema unatafuta jela tukifuata sheria za ndoa
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
We kabila gani kwani?
Mimi msukuma!