Tatizo mletamada hayupo makini kujibu comments za wadau wanao demand further explaination , ndiyo maana nilishatoa maguu yangu hapa , nimerejea by ajali tu !
Unadhan wanawake wenzio
wote walio olewa walipost mitandaoni hivi? Wenzio walikua wanajieshim na
heshima ndio maana wameolewa... uko mtaan kwenu hakuna waoaji? Nadhan
tabia zako aziridhishi ndio maana uolewi