Hank_31 JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 864 Reaction score 2,164 Nov 19, 2022 #41 maroon7 said: Ndio miaka minne tu ya jamaa kukaa mahabusu abebe mimba na azae na sponsor? Je jamaa angekua amehukumiwa kifungo kirefu ingekuaje. Huyo ni malaya mkuu na lazma walikutana na mchizi sehemu za bata jamaa akaweka ndani kisa anampunga. Click to expand... Umemaliza mkuu, malaya hakua na mpango wowote wa kuendeleza familia. Miaka 4 kapata sponsor? What a tragedy. Jiwe atalaumiwa kwa kumrudisha mwamba nyuma lakini aliyefanya jamaa kufa ni stress za mkewe. Sent using Jamii Forums mobile app
maroon7 said: Ndio miaka minne tu ya jamaa kukaa mahabusu abebe mimba na azae na sponsor? Je jamaa angekua amehukumiwa kifungo kirefu ingekuaje. Huyo ni malaya mkuu na lazma walikutana na mchizi sehemu za bata jamaa akaweka ndani kisa anampunga. Click to expand... Umemaliza mkuu, malaya hakua na mpango wowote wa kuendeleza familia. Miaka 4 kapata sponsor? What a tragedy. Jiwe atalaumiwa kwa kumrudisha mwamba nyuma lakini aliyefanya jamaa kufa ni stress za mkewe. Sent using Jamii Forums mobile app
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,491 Reaction score 20,064 Nov 19, 2022 #42 Kuna muda inabidi tujifunze kujipenda
Asprin Platinum Member Joined Mar 8, 2008 Posts 68,487 Reaction score 96,981 Nov 20, 2022 #43 MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Is Malisa died? Click to expand... Kwa kiswahili ulitaka kumaanisha nini?
MENEMENE TEKERI NA PERESI said: Is Malisa died? Click to expand... Kwa kiswahili ulitaka kumaanisha nini?