Na Malisa G J

Wanaume nawaonya. Usioe kama hujajipanga kiuchumi kwa maana ya kufanya uwekezaji mkubwa utakaodumu hata miaka 20 endapo utatoweka duniani ama kupatwa na madhira
 
Kwa mtiti wa wanasiasa wakikufanyia roho mbaya wanafilisi mpaka bima. Wanasiasa Africa hovyo sana
 
Halafu anatokea mpumbavu anasema magufuri akisemwa ni RIP...yaani magufuri kafanya mabaya meeeeeeengi kuliko mema na moto w a jahanamu ni halali yake😢😢
 
JPM atalaumiwa hata kwa yasiyomhusu...yeye ndo alimtafutia huyo mwanamke sponsor? Upumbavu wa huyo mwanamke ni wake, wangapi wanafungwa na wanarudi uraiana na kuendelea na familia zao? Wengi wa wapigaji walizoea maisha fulani ya mteremko na ndio hayo maisha huyo mwanamke alikua kayazoea ndio maana akashindwa kuvumilia akatafuta sponsor. Maana mfanyabiashara inakuaje just 4 years mke akose hata pesa ya kujikimu atafute sponsor? Kuna aina ya maisha ambayo huyo mwanamke alizoeshwa na ni jamaa ndo alimzoesha. Sio kila lawama abebe Jiwe
 
Wewe ni fara tu yaani kwenye maelezo yooooote umemuona sponsor.....hujiulizi chanzo cha mwanamke kujikabidhi kwa sponsor kilikuwa ni nini!
 
Wewe ni fara tu yaani kwenye maelezo yooooote umemuona sponsor.....hujiulizi chanzo cha mwanamke kujikabidhi kwa sponsor kilikuwa ni nini!
Fala ni wewe....unaemtetea huyo malaya na kusupport lawama kwa JPM.
Unawajua wanawake waliozoeashwa maisha mazuri?
 
K Kitendawili kiteguliwe
 
Maana mfanyabiashara inakuaje just 4 years mke akose hata pesa ya kujikimu atafute sponsor? Kuna aina ya maisha ambayo huyo mwanamke alizoeshwa na ni jamaa ndo alimzoesha. Sio kila lawama abebe Jiwe
je kama huyo mwanamke hakuwa na uzoefu wa kuendesha hiyo biashara (alikuwa hashirikishwi) unatarajia angeweza kukurupuka tu na kuwa mtaalamu wa biashara?
 
je kama huyo mwanamke hakuwa na uzoefu wa kuendesha hiyo biashara (alikuwa hashirikishwi) unatarajia angeweza kukurupuka tu na kuwa mtaalamu wa biashara?
Ndio miaka minne tu ya jamaa kukaa mahabusu abebe mimba na azae na sponsor? Je jamaa angekua amehukumiwa kifungo kirefu ingekuaje. Huyo ni malaya mkuu na lazma walikutana na mchizi sehemu za bata jamaa akaweka ndani kisa anampunga.
 
Watu baada ya maisha kuwa magumu kupitiliza awamu hii bado wanapambana na marehemu.
Kwa kuwa waliaminisha watu kuwa maza yuko vizuri wanashindwa kumwambia ukweli.
Wanatafutiza tu vitu vya kulisema kaburi.
Jamani, tupo awamu ya maza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…