tatizo ni serekali sikivu inayo ongozwa na sisiemu, kutotaka wananchi wawe na elimu bora waweze kukabiliana na changamoto za karne ya 21, na pia kutokuwa na mipango mizuri inakayo muwezesha ntu kuweza kufanikisha shughuli zake za kiuchumi, wao kazi yao kuuwa uzalishaji wa umeme na kuharibu reli ili malori yao yapate tenda ya kusafirisha mizigo, kuharibu barabara ili waseme kulikuwa hakuna barabara sasa tumewaletea, kuleta richmond, ndio ubunifu wao, sasa mtu wa chini atajifunza nini kizuri toka kwao.
na tuna sikia kamati za ulinza walizo nazo viongozi wetu.