CCM walijaribu kuja na Siasa za kishamba za kuwanunua Madiwani na Wabunge, kisha wakawarejesha kwenye hizo nafasi kwa kisingizio kuwa Wananchi wao pia walihama nao na hivyo wakawapigia kura.
Hebu leo waone wananchi wanavyowasuta kwa kile walicho kifanya. Upinzani umesha jikita ndani kabisa ya mioyo ya wananchi na kujaribu kuua ni kupoteza muda bure.