Na Hawa Nao Wanaliombea Taifa????

Na Hawa Nao Wanaliombea Taifa????

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
usingizi (1) (1).jpg
Huu ndio ulikuwa wakati muafaka wa kuandamana
 
WAZIRI NGELEJA..jpg
Huyu eti kabana na mikoo kabisa..................................
hamna ki2 hapo ni maulabu tu na kukesha akitafuta blanketi la nyama...
jamaa anasifika sana
 
Lyatonga anadondosha denda, nadhani kwa hawa wote ni side effect ya dawa ya babu loliondo. Watafutiwe anti-dot.
 
Haahaaaaahhhhhhaaaaa!
Nimejichekea zangu kwa raha zangu!
 
Kwa jinsi Malecela anavyohangaika na pua, definetly kuna mtu aliharibu hewa!! lol.... Naona ustaadh, pale nyuma, bado haamini anazuga na bendera....
 
Back
Top Bottom