----- na bosi wake

----- na bosi wake

Martin Maqway

Member
Joined
Sep 22, 2013
Posts
19
Reaction score
2
----- 1 alitoroka kazin nakwenda kwake kufika kwake alimkuta bosi na mke wake(mke wa -----)jamaa alipoona alinyata taratibu na kuridi mbio kazin alipofika kazin alishukuru mungu kwa vile hajaonwa na bosi huku akisema angejua nimetoroka kazn ingekuwa msala ahhhhhh ningefukuzwa! kama ni ww mwana jf ungefanya nini?
 
Back
Top Bottom