Na bado kesho UVCCM tutamwagika uwanja wa Amani

Na bado kesho UVCCM tutamwagika uwanja wa Amani

CCM ndo tutawala milele wengine mtabaki kusindikiza daima.
Nakubali na hasa mkazidi kuzalisha wachumba mabaradhuli. Mtakuwa na kila sababu ya kutawala milele na milele. Zanzibar itakuwa Sodom na Gomorrah. CCM mbele kwa mbele kumbe ina maana
 
Nakubali na hasa mkazidi kuzalisha wachumba mabaradhuli. Mtakuwa na kila sababu ya kutawala milele na milele. Zanzibar itakuwa Sodom na Gomorrah. CCM mbele kwa mbele kumbe ina maana
wacha kelele na siasa za kitoto
 
Endeleeni na propaganda za kitoto nchi tumeshachukua
8c390a1bcec2bd71a19f379942679a99.jpg
Kwa hii post yako sana umetaka kijana mwenzako adhidi kudhalilika.Duh tumia bongo basi.Rafiki hukujui Zanzibar watu huko wanajuana kwa tabia na majina.Pole
 
wacha kelele na siasa za kitoto
Umetumbuliwa jipu bila ganzi wala mafuta nini? lakini nadhani mtumbuaji mara hii hakutoka Mombasa! Baraghash pia hutumbua majipu na kutunza siri. CCM MBELE KWA MBELE......... kumbe ina maana
 
Babeli na Roma si ccm. CCM habari nyingine bana. Hadi tuseme basi sie wenyewe

Mkuu, hata aibu huoni? rafu zote hizo na kulazimisha ushindi kwa mitutu bado unakuja kujisifu mitandaoni?
 
Back
Top Bottom