Mzungu

Hassani

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Posts
979
Reaction score
1,772
Kuna mzungu alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa kikundi cha waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani.Aliporudi kumkuta nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza aliyemuua.Wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu".
 
Kama kunamtu aliyechukua point tatu zote kwangu ni wewe,yaani siku ya leo sikuhitaji kabisa kucheka,ila hii kali mno!!
 

Nice one ha ha ha haaaaaaaa
 

Hoi kwa kicheko, tena walivyomjibu mzungu..ha ha
 
teh teh teh......ha ha ha ha
 
Kwenye matanga wanahusika familia tu;
Good one.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…