Mzungu ombaomba Dar

Ungelikuwa umezoea jamii tofauti usingelikuwa na mawazo ya kibaguzi kwa kiasi hiki.

Nini cha ajabu kuona mtu mwenye asili ya bara Europa akiomba?!
Ume Nena vizurii kwa huyu.

Pia akumbuke mesali hii mswahiliii akipata mat...ko hulia mbwataaa
 
Reactions: Auz
Huyo Mzungu bado yupo? Nilionana naye 2011. Akanambia aliibiwa pesa na amefukuzwa kwenye nyumba. Alinitapeli 30,000/=. Baada ya juma moja hivi nikamkuta posta anamwingiza mtu kingi kwa story ile ile. Tapeli huwa akumbuki anaowatapeli. Hakunikumbuka. Nikamwambia aliyekuwa anataka kutapeliwa kuwa huyo Mzungu ni tapeli aliyekubuhu.
 
Ungelikuwa umezoea jamii tofauti usingelikuwa na mawazo ya kibaguzi kwa kiasi hiki.

Nini cha ajabu kuona mtu mwenye asili ya bara Europa akiomba?!
Cha ajabu kipo..hawajazoeleka kuwa na tabia hizi hasa wakiwa nchi za watu labda wewe ndo huwajui ila amini hawanaga hii tabia so huoni ni ajabu hilo
 
Sijajua labda ni yeye
 
Nafurahi sana kumwona mzungu mwarabu mhindi akitaabika, roho kwatuuu
 
Warusi ndio wenye tabia hiyo pia ya utapeli
ukikutana nao waweza kukupa dili ukiingia kingi umeisha
 
Mkuu Pitia Uzi wa Chini utapata Michango ya wadau:- πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡ πŸ‘‡

Mzungu Omba Omba ndani ya Dar
 

Johannesburg, wazungu omba omba mbona wengi tu.
 

Attachments

  • 1597210622171.jpeg
    55.1 KB · Views: 6
Mwanaume ukiombwa hela na hujatoa unakausha. Kuja kumuanika mtu mitandaoni kisa kakuomba hela ni ushamba na tabia za kimasikini. Haijalishi hata kama alikuwa ni mzungu. Jifunze maisha utaelewa nilichoandika hapa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…