[emoji106][emoji106][emoji106]Sikufanikiwa kumpiga picha ila nikienda tena nitaitupia
we kwani umemshangaa omba ombaKuna ombaomba wengi au??
Huyu hujamuelewa tu! Alianza na Arabs then Indians sasa Euros nasubiri Japanese, Chinese then Latinos.Ukiishi TABORA nina uhakika utaanzisha thread za hivi hata 10 kwa kila siku.
Ungelikuwa umezoea jamii tofauti usingelikuwa na mawazo ya kibaguzi kwa kiasi hiki.Mimi ninakaa sana na Jamii tofauti na hii inatokana na mazingira ninayoishi kwaio usishangae kuja na mada za hao watu