Mzungu na padri!!

Munkari

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
8,084
Reaction score
4,365
Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili aombewe,padri akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni kanisa gani wanaombea? Kwasababu nina sadaka ya million 5 kwa padri atakae mwombea! Padri akajibu ah! Mbona haukusema kabla kua mbwa wako ni mkristo? Haya mlete!!
 
Hata hacheshi tena imeshakua kero kwanza unakashifu imani yangu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…