Hivi kwa bandiko hili,kwa nini tusijitambue kwanza kama waafrika badala ya kuhangaika kubaguana kwa vyama kama mkulu anavyotufundisha sasa.LIBYA walishashtukia hii kitu kupitia Gaddafi ndiyo maana wakamfanyizia ili kuumiliki utajiri wa mafuta.Hapa kwetu hatujasalimika,safari za nje zilikuwa kama safari za kwenda CHOONI tu,kila baada ya wiki mtu yuko ulaya au marekani.haikuwa bure kuna kitu kilikuwa kinasukwa pale,itatuchukua muda mrefu sana kuchomoka tulipo na hivi tunapoelekea we acha tu