Mzungu huyu hafai

Ni yule Peter wa Ifakara nini........Mswisi hovyo kabisa yule
 
Ila mletamada hawa vijana ama ni mabwabwa au wanaamua kujilengesha mtu ushajua jamaa anafanya nini,unaenda kufanyaje km si kupenda kutobolewa majitu mengine bana sijui yakoje!
 
Hao vijana watakuwa mabwabwa au wanapenda kuwatafuna mashoga. Hapa vyombo vya dola inabidi vifanye kazi yake...
 
Wewe alikupa offer ya bia ngapi?, mishikaki mingapi?, ulipoenda kwake ulala mpaka asubuhi au uliondoka?!, mulikuwa wangapi hapo kwenye offer ya urabu na nyumbani kwake?!, alikushawishi vipi mpaka ukaenda kwake?!, umapendekeza vijana wenzio wafanyeje ili wajinasue na mtego huo.
<br />
<br />
 
I smell fishy here,sir henry vp ushaliwa na huyu jamaa nini?vumilia bana hizo ajali kaziniacheni ulafi wa bwii vijana
 
<br />
<br />
 
Ma jasusi yanakuaga malaghai sana asije akatuaribia na polisi wetu
 
ni raia mwema wa tz na raia mwema wa dunia yetu hii nzuri siijui hata harufu ya pombe,sinamaana wanywaji si raiawema hapana.
 
Umaskini unawafanya hao vijana wahatarishe maisha yao. Maskini utapenda kaofa kumbe hakuna cha bure duniani. Na hiki kibabu cha kizungu lazima kitakuwa kimeathirika.
..Si umasikini hata kidogo. Ni uvivu wao kutojishughulisha mwisho wa siku ndio wanaingia kwenye hiyo mitego acha wale matokeo ya ujinga wao. Hivi ukiwa masikini ndio unakubali kuliwa m******u?
 
yukoje huyo ! huyu anakibiongo kutokana kazi ile 40 -45 umri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…