Mzungu akigoma au hata kutishia kutoingiza mitumba bongo tumekwisha. Tuache kumuita beberu!

CCM Music

JF-Expert Member
Dec 5, 2018
1,036
1,782
Asilimia 100% ya watanzania wanatumia mitumba ama wamewahi kutumia mitumba, kuanzia nguo, viatu, magari, machines, na kadhalika.

Siku mzungu aki maindi tu, halafu akatishia kutoingiza tena mitumba nchini, basi tumekwisha.

Tuache kumtukana na kumuita beberu. Tuwe na nidhamu jamani.
 
Hawa ni watu waelewa wana mioyo tofauti na sie. Pasipo wao hawa wenzetu wakoloni weusi wangekuwa wanatumaliza usiku na mchana.
 
Tusitumie mtumba uwezo huo uko wapi?

We unataka na sisi TZ tuanze unda magari yetu nini,Tutaanza (wagome waone)
 
Asilimia 100% ya watanzania wanatumia mitumba ama wamewahi kutumia mitumba, kuanzia nguo, viatu, magari, machines, na kadhalika.

Siku mzungu aki maindi tu, halafu akatishia kutoingiza tena mitumba nchini, basi tumekwisha.

Tuache kumtukana na kumuita beberu. Tuwe na nidhamu jamani.
Naona unawapenda sana mabeberu sijui wamekupa nini.
 
Wafrika tuache kuwatukuza wazungu walisha tutawala miaka ya 80 na 90 huko inatosha.
we jamaa mtoa post nawe unashindwa kuwa creative kama pamba hata TZ tunalima yan unashindwa kubuni cha kwakwako ila unatukuza cha mzunguzu et ili usinyimwe mitumba kweli??
 
Hakuna anayewatukuza hawa watu shida ni kwamba tunaowapa dhamana watuongoze sie Waafrica ufanya mambo kama watu ambao awajastaarabika na kufanya Waafrica wote tudharaulike,hivo watu uona heri hao,Kama tuna kila kitu tungali masikini watawala wamegeuza nchi ni Mali zao binafsi wao ndo uamua nani aishi na auwawe, unamuuwa vipi MTU sababu ya tumbo hali nawe ni marehemu mtarajiwa
 
Umeandika kwa uchungu sana, nimekuelewa
Tunaviona watawala wa kiafrica wawezacho Kwa bidii ni kuzalisha wakimbizi na sio kuhudumia wakimbizi. Sababu wanapora haki za watu Kwa kujiona wao ni special hali wamepewa dhamana wawatumie watu wao wanawaumiza watu.
 
Wafrika tuache kuwatukuza wazungu walisha tutawala miaka ya 80 na 90 huko inatosha.
we jamaa mtoa post nawe unashindwa kuwa creative kama pamba hata TZ tunalima yan unashindwa kubuni cha kwakwako ila unatukuza cha mzunguzu et ili usinyimwe mitumba kweli??
Hii jeuri ya ku chat hapa shukuru mzungu, sasa unaanza kumletea dharau
 
Asilimia 100% ya watanzania wanatumia mitumba ama wamewahi kutumia mitumba, kuanzia nguo, viatu, magari, machines, na kadhalika.

Siku mzungu aki maindi tu, halafu akatishia kutoingiza tena mitumba nchini, basi tumekwisha.

Tuache kumtukana na kumuita beberu. Tuwe na nidhamu jamani.

Ubarikiwe sana mkuu
 
Kwani ww unaogopa kutembea uchi?? Una kiba...nn?? Yan tumnyenyekee kiti moto kwa ajili ya mitumba hahahaaa...acha akili za kitumwa..kama kumnyenyekea nenda ww na familia yako sio sisi yan tuko tiyari kutembea uchi tukiwa huru kuliko kuvaa suti tukiwa watumwa
 
Mwanamke huyo huyo kuna kipindi anaitwa Mama, Wifi, Shemeji, Mama Mdogo, Dada, mchepuko.

Mwanaume huyo huyo kuna kipindi anaitwa, Baba, Mjomba, Baba mdogo, Kaka, Shemeji.

Mzungu huyo huyo kuna kipindi anaitwa, Beberu, Mkoloni, Rafiki wa maendeleo.

Rafiki wa maendeleo akiwa mshirika wa kweli wa uboreshaji wa maisha ya Mtanzania.

Beberu ni pale ambapo anaanza kuwa na fitina za kuhujumu uchumi wa nchi au mipango yake, aidha yeye mwenyewe au kuwatumia madalali (insurgents).
 
Asilimia 100% ya watanzania wanatumia mitumba ama wamewahi kutumia mitumba, kuanzia nguo, viatu, magari, machines, na kadhalika.

Siku mzungu aki maindi tu, halafu akatishia kutoingiza tena mitumba nchini, basi tumekwisha.

Tuache kumtukana na kumuita beberu. Tuwe na nidhamu jamani.
Jiwe na praise team watabisha!
 
Back
Top Bottom