Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 15,961
- Thread starter
- #21
Mungu huyu wa kwel alieumba dunia ni wa ajab kuliko unavofkiria,..hana mda et wa kumwangamiza bnadam kwa moto sjui nin,ni stor tuu za wahenga,..hiv unadhan project za mungu ni sis tuu bnadam hapa dunian?ungekua umesoma elim ya universe ungefahama kua ulimwengun kuna zaid ya ma trillion ya sayar na jua,so ustake kuniaminisha kua katka sayar zote hizo ni sayar 1 tuu ndo yenye viumbe hai,...siamin hata sku1Hawa wazungu na tafiti zao za kwenda kwenye sayari zisizo julikana mwisho wa siku wamchukize Mungu achukue uamuzi wa kuteketeza dunia yote na watatuponza sisi wafrika tusio jua kila kitu