Mzungu aachwe tu,mtazamo wa mzungu si kawaida

Hawa wazungu na tafiti zao za kwenda kwenye sayari zisizo julikana mwisho wa siku wamchukize Mungu achukue uamuzi wa kuteketeza dunia yote na watatuponza sisi wafrika tusio jua kila kitu
Mungu huyu wa kwel alieumba dunia ni wa ajab kuliko unavofkiria,..hana mda et wa kumwangamiza bnadam kwa moto sjui nin,ni stor tuu za wahenga,..hiv unadhan project za mungu ni sis tuu bnadam hapa dunian?ungekua umesoma elim ya universe ungefahama kua ulimwengun kuna zaid ya ma trillion ya sayar na jua,so ustake kuniaminisha kua katka sayar zote hizo ni sayar 1 tuu ndo yenye viumbe hai,...siamin hata sku1
 
Ila isije ikawa wako studio tu, wanakudanganya.
Kwanin unakua mzito kuamin mambo,..mbona huoji advancement zingne za technology,nw tunawasiliana hapa vzur tuu,unaeza ongea na mtu yuko miles away etc,unapiga picha unajiona etc,..hiv vyote vmefanywa na nan? Vtu vingne vnahtaj brain kufanya mangamuZ,maana hata elim ta darasan weng wana vyet vya kukarir tu
 
Sasa kila mtu akifanya tafiti unadhani nani atakaa kwenye discovery channel kumcheki mwenzie? Tofauti za maisha na kimtazamo lazima ziwepo kwenye dunia ya watu more than 5 billion kwahio usidharau ulipo unaweza kuta upo sahihi kuliko wao. Full stop
 
Sisi tungeweza kujitutumua isingekuwa magu kuhusudu kushangiliwa na kupongezwa huku akisifiwa kwa maandamano ya wajinga naye anachekelea.
Ukiuliza unajibiwa na mabeo, siiro, ndugaali, na yule wa mahakama kyuu!

Mnategemea kuwa na 'Vichwa'
Thubuutu!!

Tunaambukizana miujinga.
Magu kafikaje tena hapa,..wazee wa lawama,hahah,yaan we hata ukingatwa na mbu utasema magu anazingua ndomana unangatwa na mbu
 
Sasa kila mtu akifanya tafiti unadhani nani atakaa kwenye discovery channel kumcheki mwenzie? Tofauti za maisha na kimtazamo lazima ziwepo kwenye dunia ya watu more than 5 billion kwahio usidharau ulipo unaweza kuta upo sahihi kuliko wao. Full stop
Hakuna kitu kama hcho kaka,usijipe moyo,..A ni A tuu hakuna nyingne..yaan umwone mwenzio ana progress we umekaa unakunywa urojo halaf useme uko kwenye right track?..labda uwe kwenye sayar nyingne ambayo mafanikio kwao ni context ya backwardness
 
Magu kafikaje tena hapa,..wazee wa lawama,hahah,yaan we hata ukingatwa na mbu utasema magu anazingua ndomana unangatwa na mbu
Mkuu huyu magu ni kama wewe kimuonekano yaani ni mweusi, na mada yako inachambua udhaifu wa watu weusi mbele ya weupe.

Labda uniambie magu ni mweupe nitakuwa nje ya mada.

Narudia tungeweza kufanya makubwa kupunguza aibu za kuzodolewa na wazungu isingekuwa magu
 
Unamwonea bwana kumtwisha zigo hlo la lawama,..lawama hiz ni za kiumbe chochote chenye rang hii nyeus,awe ulaya,africa,asia,america n.k,..
 
Millions of Galaxies,billions of stars na hivyo vyote ni observable universe bado tunahitaji telescopes zenye nguvu sana kuona mbali zaid,Viumbe vilivyoendelea na ambavyo viko nyuma kimaendeleo kuliko vya duniani vipo kwenye sayari nyingine,ujuzi huu katuletea huyohuyo mzungu congrats kwake.
 
Hakuna kitu kama hcho kaka,usijipe moyo,..A ni A tuu hakuna nyingne..yaan umwone mwenzio ana progress we umekaa unakunywa urojo halaf useme uko kwenye right track?..labda uwe kwenye sayar nyingne ambayo mafanikio kwao ni context ya backwardness
Usijitie stress kuangalia wao wako wapi nawe uko wapi utaumia bure we ukiona mambo yako yanaenda acha kuji compete na watu ji compete na ulivokua jana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom