Issue kubwa ni kuwa na hakika umepata nafasi. Tcu hawajaweka wazi chuo ulichopangwa bali chuo ndio kitaconfirm. Kati ya vyuo vilivyotoa majina tayari haumo imebaki mzumbe tu nao hawatoi majina ili mtu apate uhakika tu kwamba kapangwa pale. Huu utaratibu sio kabisa