Ariella A.K Senior Member Joined Dec 23, 2011 Posts 198 Reaction score 60 Sep 20, 2015 #2 Yamefanyaje? Huku siyo Facebook...
T Thebony Member Joined Aug 16, 2012 Posts 92 Reaction score 2 Sep 20, 2015 Thread starter #3 Ariella A.K said: Yamefanyaje? Huku siyo Facebook... Click to expand... akili ndogo tu zinahitajika
Petro Oswald JF-Expert Member Joined Aug 17, 2015 Posts 2,389 Reaction score 1,898 Sep 20, 2015 #4 Thebony said: majina mzumbe jaman?? Click to expand... mchawi subira..
Daby JF-Expert Member Joined Oct 26, 2014 Posts 34,961 Reaction score 80,194 Sep 20, 2015 #5 Majina mzumbe.? Majina ya nini wanafunzi wa sekondari mzumbe? Wa chuo? Undergraduate? Masters? Majina ya watumishi? Majina ya majengo? E
Majina mzumbe.? Majina ya nini wanafunzi wa sekondari mzumbe? Wa chuo? Undergraduate? Masters? Majina ya watumishi? Majina ya majengo? E
M Mr. Teacher JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 330 Reaction score 88 Sep 21, 2015 #6 Wajumbe vp Mzumbe university hawajatoa majina ya waliochaguliwa kujiunga mwaka huu?
desiigner JF-Expert Member Joined Jul 30, 2014 Posts 520 Reaction score 229 Sep 21, 2015 #7 kaa utulie hivy hvy
M Mr. Teacher JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 330 Reaction score 88 Sep 21, 2015 #8 Kazimoto74 said: kaa utulie hivy hvy Click to expand... Sawa mkuu
R RajaTz Member Joined Sep 8, 2015 Posts 9 Reaction score 0 Sep 22, 2015 #9 Hahahahha.... Mi nacheka tu!
mtanganyika wa kweli JF-Expert Member Joined Apr 12, 2015 Posts 2,420 Reaction score 1,724 Sep 22, 2015 #10 Thebony said: majina mzumbe jaman?? Click to expand... wacha kukurupuka km umefukuzwa chooni
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,415 Reaction score 1,386 Sep 22, 2015 #11 Thebony said: majina mzumbe jaman?? Click to expand... watatoa .huwa wanachelewaga.kama uliweka chaguo la kwanza naulifanya vizuri form 6 we ushapata 80%.usihofu
Thebony said: majina mzumbe jaman?? Click to expand... watatoa .huwa wanachelewaga.kama uliweka chaguo la kwanza naulifanya vizuri form 6 we ushapata 80%.usihofu
kichekoh JF-Expert Member Joined Sep 19, 2015 Posts 1,374 Reaction score 1,482 Sep 22, 2015 #12 Danp36 said: watatoa .huwa wanachelewaga.kama uliweka chaguo la kwanza naulifanya vizuri form 6 we ushapata 80%.usihofu Click to expand... Kwanini mkuu unasema hivyo?
Danp36 said: watatoa .huwa wanachelewaga.kama uliweka chaguo la kwanza naulifanya vizuri form 6 we ushapata 80%.usihofu Click to expand... Kwanini mkuu unasema hivyo?
AfricaUnited JF-Expert Member Joined Jul 31, 2010 Posts 2,415 Reaction score 1,386 Sep 23, 2015 #13 kichekoh said: Kwanini mkuu unasema hivyo? Click to expand... kwa ufupi wanahelewaga had wanakuwa wamwisho kutoa.kwahiyo vyuo ulivyoviomba uwe unaangalia,kama haupo bas utakuwa umechaguliwa.mzumbe wapo smart,ushindan ni mkubwa ndio maana nasema km ulifanya vzuriidgo usihofu.na km uliweka chaguo la kwanza
kichekoh said: Kwanini mkuu unasema hivyo? Click to expand... kwa ufupi wanahelewaga had wanakuwa wamwisho kutoa.kwahiyo vyuo ulivyoviomba uwe unaangalia,kama haupo bas utakuwa umechaguliwa.mzumbe wapo smart,ushindan ni mkubwa ndio maana nasema km ulifanya vzuriidgo usihofu.na km uliweka chaguo la kwanza