sijui E="nyigo Jn., post: 17934309, member: 326860"]mtu anajuaje sasa manake profile inaandika tu umepata hawasemi wapi, yale yaliovujaa jumapili ile huenda yasiwe halisi sana manake kuna watu siku niliwachekia hawakuwa wamepata ila selection ya udsm wamo,[/QUOTE]
acha kujidanganya yale majina yalovuja ndo yaleyale kama uliona upo mzumbe bas hilo ndo jibu yale majna never hayabadlik mkuu[/QUOTE]
sijui kama umeielewa fact yangu au unajidanganya kwamba najidanganya, mwaka jana kuna watu walipata ijumaa jumatatu wakaambiwa 2nd round, mwaka juzi kuna watu walikosa afya wakafanya 2nd round baada ya tcu kuviomba vyuo viongeze admission capacity vikakubali wakapata, ile wamesema wenyewe ni provisional selection we unamwambia mtu kapata na hajaona jina ata kama ni very rare what if ikawa kwake 2