Mzumbe university selection

Mzumbe university selection

Inaonyesha wanaotakiwa chuoni wapaswa wawe wavumilivu sana. Ila angalao wamenitaarifu kuripoti chuoni ni 31st October
 
Hadi leo bado tuu. Tokea tarehe 15/9 hadi 23/9 ilitakiwa hata wapost first batch hawa.
 
mzumbe chuo kinafungua tar 31.
kwa hiyo majina yatachelewa naisi wanaunganisha na second selection
 
Kama unategemea kwenda mzumbe yakupasa ujitahidi ku adopt tabia hizi mbili;
1. Temper control (uwe papaa)
2. Msuli
 
Back
Top Bottom