Mzumbe University kulikoni?

Smartbeing

JF-Expert Member
Apr 7, 2014
323
422
Kama alumni wenu ninapenda kujua kinachoendelea huko lakini nafikiri ni zaidi ya miezi 6 siioni hata website yenu hewani. Tulizoea kuwaona through mu.ac.tz au hata ku-google direct name lakini siku hizi naona ile ya Mbeya na ya Dar tu, Main kulikoni? Je ni kweli kuwa Mzumbe ya ukweli iliondoka na Prof. Kuzilwa na Kamuzora? Kipindi hiki mnajua tuko ktk information age na huwezi kumkonyeza mtu ukiwa gizani, kindly do the needful

Mkwara: Mkichelewa kujitokeza mtasababisha watu waanze kuwakatia kiu
 
Wapo. Maana miez kadhaa nlifanya application ya dogo hapo main campus. Ilikuwa ni shida maana hata ukigoogle bado huipata. Nilikuwa naingia via url wanazonitumia kwenye email kila wanapotupa update sisi applicant

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapo. Maana miez kadhaa nlifanya application ya dogo hapo main campus. Ilikuwa ni shida maana hata ukigoogle bado huipata. Nilikuwa naingia via url wanazonitumia kwenye email kila wanapotupa update sisi applicant

Sent using Jamii Forums mobile app
Najua wana system ya online application. Je mtu akitaka kujua au kuona current prospectus anapata wapi? How about current news ya projects wanazofanya and other developments?
 
Hii
Screenshot_20190115-103659.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzumbe niliwaona wapuzi walipomtoa mtaalamu wa komputa musabila na kumweka kitengo cha ajabu ajabu msabila kipind ndo director ilikuwa poa sana mambo kwa wakati na kwa usahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom