jamal seif
Member
- Nov 24, 2014
- 78
- 13
Vyuo vingi sana vimekwisha toa post najua tupo wengi sana tunao subiri post zao. Tafadhali naomba waziachie mapema ili sisi watoto wa masikini tujue tunajipanga vipi? Mnatuacha na mawazo sana kwa sababu hatujui hatma yetu mpaka sasa. Tunaomba mtukumbuke jamani kama wapo wahusika nina imani watafikisha maombi yetu
hawa jamaa wanatupa stress sanaMi nishachoka kwa kwelii...
hawa jamaa wanatupa stress sana
mimi nilichagua udsm 2 ardhi 2 na mzumbe 1 sasa udsm tayari wamekwisha toa bado mzumbe na ardhi yaani hawa jamaa wanazingua sana sio siriMi nilichagua ARDHI post mbili za kwanza na UDSM Post 2 , nilichagua post 4 tu!UDSM tayari washatoa sipo! Nawasubiri hawa ARDHI maana kwa vyovyote ndo ntakuwa nimechaguliwa hapo tatizo sijui coarse ganiiiii.....Kati ya hizo mbili!
Daaaaaah hadi inanichosha sasa!
Mi nilichagua ARDHI post mbili za kwanza na UDSM Post 2 , nilichagua post 4 tu!UDSM tayari washatoa sipo! Nawasubiri hawa ARDHI maana kwa vyovyote ndo ntakuwa nimechaguliwa hapo tatizo sijui coarse ganiiiii.....Kati ya hizo mbili!
Daaaaaah hadi inanichosha sasa!
mimi nilichagua udsm 2 ardhi 2 na mzumbe 1 sasa udsm tayari wamekwisha toa bado mzumbe na ardhi yaani hawa jamaa wanazingua sana sio siri
nimekupata mkuuMzumbe huwa wanachelewa na sababu ya kuchelewa pale mzumbe kuna kitu wanaita staggered. Mpishano kwenye mihula ya masomo..first year wakiwa chuo second na third wanafunga. Kwa sasa hivi 1st year wapo chuo wanafanya mitihani so tulieni mitihani ikiisha watatemesha majina now wapo busy.
Nafikiri umeelewa eeeh.
Mzumbe huwa wanachelewa na sababu ya kuchelewa pale mzumbe kuna kitu wanaita staggered. Mpishano kwenye mihula ya masomo..first year wakiwa chuo second na third wanafunga. Kwa sasa hivi 1st year wapo chuo wanafanya mitihani so tulieni mitihani ikiisha watatemesha majina now wapo busy.
Nafikiri umeelewa eeeh.
Yaaan tumechoka kusubiri