Mzuka Wampanda Baada ya Kufika Kileleni

Bango linatia aibu!! Utafikiri kibao ch kwa heri mkoa wabwa dsm karibu mkoa wa pwani!! Kinapa badilisheni bwana
 
Bango linatia aibu!! Utafikiri kibao ch kwa heri mkoa wabwa dsm karibu mkoa wa pwani!! Kinapa badilisheni bwana

Wezi wa kupeleka mali chakavu wako kila mahali,hii ni sheeeedah!
 
Kubadili bango hadi usubiri 50th anniversary?
 
Afu mabango yote mbona yana sticker ya matangazo sijui ya ujasiliama sijui wahisani, Sasa si yatakuja kujazwa ma sticker moote.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…