Ha ha ha! Lakini si unasolve kwanza kisha ndiyo unachagua hizo, (A), (B), (C), & (D)?Elimu ya kileo ni tatizo...watoto wanaletewa hadi hesabu za multiple choice
Uzuri wake nini?
Kwanini mkuu? Ebu tupia nyama nyama kidogo.
Hesabu za multiple choice hazina tatizo maana lazima mwanafunzi akokotoe kabla hajachagua jibu! Hivyo, hazina ubaya wowote, na zinamsaidia mwanafunzi kupata accuracy ya majibu.Elimu ya kileo ni tatizo...watoto wanaletewa hadi hesabu za multiple choice
Eee man...yani watoto wa siku hizi ni empty headed...mtu kamaliza form-four lakini ukimuuliza swali la quadratic equation (form two) anabaki anatoa mboni...na wapo wengi tuHa ha ha! Lakini si unasolve kwanza kisha ndiyo unachagua hizo, (A), (B), (C), & (D)?
Pia hata usahihishaji wa mitihani unakuwa rahisi ukizingatia ongezeko kubwa la idadi ya wanafunzi.Hesabu za multiple choice hazina tatizo maana lazima mwanafunzi akokotoe kabla hajachagua jibu! Hivyo, hazina ubaya wowote, na zinamsaidia mwanafunzi kupata accuracy ya majibu.
Hamna dingi....hivo hesabu zinawafanya watoto wawe wavivu wa kufikiri....kuna mwingine anaweza kuanza kubashiri tu...hivyo hawezi kuwa mkokotozi mzuriHesabu za multiple choice hazina tatizo maana lazima mwanafunzi akokotoe kabla hajachagua jibu! Hivyo, hazina ubaya wowote, na zinamsaidia mwanafunzi kupata accuracy ya majibu.
Zote mbwembwe lakini darasa la 7 la 1995 kurudi nyuma lina watu wenye akili,weredi,hekima na busara pia watatuzi wa mambo mengi ya kimaisha kuliko degree ya mwaka 2005 kuja mpaka leohabari wanajamvi,
hii mada nimeamua kuileta kwenu maana naona kama imekua gumzo huku na kule,
hasa ukimkuta kijana wa zamani alie pata elimu huwa na kasumba za kuwananga (kuwabeza) vijana wa sasa iv 2010's kwa kusema kuwa,
1. Elimu tunayoipata mashuleni na hasa vyuoni haiko deep kama zamani
2. vijana hatujielewi nn tunafanya mashuleni na vyuoni (future yetu hatujui)
3. vijana tuna kalili na sio kuelewa
4. tunasoma kwa kufata mikumbo
5. tuna base na majibu ya juu juu hasa ya kutumia internet
kwako mwana JF huu mtazamo unauchukuliaje!,
karibu katika mada!
Hata usipopewa multiple choice unaweza kuwa mjinga tu vile vile kama huwezi kukokotoa!! Ndio maana miswaki ya hisabati haijawahi kuisha tangu uhuru.Hamna dingi....hivo hesabu zinawafanya watoto wawe wavivu wa kufikiri....kuna mwingine anaweza kuanza kubashiri tu...hivyo hawezi kuwa mkokotozi mzuri
Siafiki watoto kupewa hesabu za multiple choice.....Hata usipopewa multiple choice unaweza kuwa mjinga tu vile vile kama huwezi kukokotoa!! Ndio maana miswaki ya hisabati haijawahi kuisha tangu uhuru.
Hayo ni maoni yako! We need objectivity.Siafiki watoto kupewa hesabu za multiple choice.....
Kwani tatizo ni nini mkuu? Degree ya mwaka 1980 ina tofauti gani na degree ya 2017?Zote mbwembwe lakini darasa la 7 la 1995 kurudi nyuma lina watu wenye akili,weredi,hekima na busara pia watatuzi wa mambo mengi ya kimaisha kuliko degree ya mwaka 2005 kuja mpaka leo
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Maajabu ni kwamba walioandaa syllabus ya sasa hivi wengi wao kama sio wote wamesoma hio miaka unayosema wewe..Zote mbwembwe lakini darasa la 7 la 1995 kurudi nyuma lina watu wenye akili,weredi,hekima na busara pia watatuzi wa mambo mengi ya kimaisha kuliko degree ya mwaka 2005 kuja mpaka leo
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature