matunduizi JF-Expert Member Aug 20, 2018 6,596 15,393 Jul 12, 2019 #1 hii inaua kuamiliana. kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani.
AbuuMaryam JF-Expert Member Dec 26, 2015 2,537 4,517 Jul 12, 2019 #3 matunduizi said: hii inaua kuamiliana. kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani. Click to expand... Sio hivyo tu...wanawake ambao walishachepuka kabla ya ndoa...ni ngumu sana kutulia ndoani asichepuke...
matunduizi said: hii inaua kuamiliana. kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani. Click to expand... Sio hivyo tu...wanawake ambao walishachepuka kabla ya ndoa...ni ngumu sana kutulia ndoani asichepuke...
Pierreeppah JF-Expert Member Feb 2, 2014 1,563 1,974 Jul 12, 2019 #8 Hata ukimwoa akiwa bikra lakini siku akionja ya nje anahamia kabisa huko
Old story JF-Expert Member Jul 21, 2018 2,263 2,143 Jul 12, 2019 #9 Zama hizi kuuziana gunia kwenye mbuzi kuko nje nje ya nn tusijaribu he huyu mbuzi anafaa kwa supu
hearly JF-Expert Member Jun 19, 2014 45,622 63,117 Jul 12, 2019 #10 Zama hizi kupata mwanamke/mwanaume muaminifu 100% .. ni sawa na kupanda mpunga jangwani kisha uanze kutarajia kupata mavuno
Zama hizi kupata mwanamke/mwanaume muaminifu 100% .. ni sawa na kupanda mpunga jangwani kisha uanze kutarajia kupata mavuno
Cole Williams JF-Expert Member Jun 1, 2016 35,124 201,143 Jul 12, 2019 #11 hearly said: Zama hizi kupata mwanamke/mwanaume muaminifu 100% .. ni sawa na kupanda mpunga jangwani kisha uanze kutarajia kupata mavuno Click to expand... Mkuu haya mambo ni Magumu sana Mungu atusaidie sana
hearly said: Zama hizi kupata mwanamke/mwanaume muaminifu 100% .. ni sawa na kupanda mpunga jangwani kisha uanze kutarajia kupata mavuno Click to expand... Mkuu haya mambo ni Magumu sana Mungu atusaidie sana
hearly JF-Expert Member Jun 19, 2014 45,622 63,117 Jul 12, 2019 #12 Sisi wengine Mpaka kuoa tuna ogopa sasa ' Kutokana na Yale tunayo jionea 'yanayojiri ndani ya hizi Ndoa Cole Williams said: View attachment 1151748 Mkuu haya mambo ni Magumu sana Mungu atusaidie sana Click to expand...
Sisi wengine Mpaka kuoa tuna ogopa sasa ' Kutokana na Yale tunayo jionea 'yanayojiri ndani ya hizi Ndoa Cole Williams said: View attachment 1151748 Mkuu haya mambo ni Magumu sana Mungu atusaidie sana Click to expand...
D DAN LOKOMOTIVE JF-Expert Member Dec 16, 2016 1,503 1,906 Jul 12, 2019 #13 matunduizi said: hii inaua kuamiliana. kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani. Click to expand... picha linaanza usipo mgonga kipindi cha ndoa hata ndoa hutaiona maana atakuacha mapema ataenda kwa wanaojua kugonga...cha msingi ni kuprotect kilichokuwa chako
matunduizi said: hii inaua kuamiliana. kama alikuchepusha kabla hajakuoa nini kimzuie asichepuke ukiwa ndoani. Click to expand... picha linaanza usipo mgonga kipindi cha ndoa hata ndoa hutaiona maana atakuacha mapema ataenda kwa wanaojua kugonga...cha msingi ni kuprotect kilichokuwa chako