Mzimu wa Zitto waanza kuimaliza CHADEMA

Mzimu wa Zitto waanza kuimaliza CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Alipokuwapo walishinda kata ngapi? jimboni kwake wana kata ngapi? operesheni za copa zzk ameshiriki ngapi? naomba majibu.
 
Sio siri watakuja hapa na Mapovu yao wanaomtetea Mbowe lakini ni dhahiri kushindwa vibaya kwenye uchaguzi wa kata ni matokeo ya kumuweka Zitto pembeni, na zaidi mtaona kwenye uchaguzi wa Urais na wabunge ujao, daftari kitu gani?mbona wengi waliowachagua zamani ndo wamepiga na leo?ina maana walikufa walioipenda CHADEMA peke yake?wa CCM wamebaki?ondoeni visingizio vya kitoto na mumuangukie Zitto. Huu ni mfano wa Ufanisi sifuri kwani gharama kubwa sana imetumika na huyo Mbowe lakini tumeambulia patupu. Hapo akili haikutumika bali kichwa peke yake na wengine wote mlifata, sasa tunadaiwa bela za chopa na uchaguzi tumeshindwa. Najua moderators wanaweza kuutoa uzi huu kwa sababu wanazozijua wao, lakini naomba muuache watu wachangie na msiuunganishe tafadhari.

Laana Zipo Nyingi tu ikiwemo Mzimu wa Chacha Wangwe ambaye Enzi ya Uhai wake Mbowe alimchukia sana kisa eti alikuwa akimchana Live juu ya Matumizi mabaya ya pesa za Ruzuku na pesa za Misaada Sanjari na Uteuzi wa Wabunge viti Maalum kujaa ukabila na Rushwa ya Ngono huku Mbowe akiishi Kama Mfalume hataki kukosolewa Vioja vyake yupo Tayari kwa lolote ili mladi akae bila maswali juu ya pesa za Ruzuku
 
Juzi Juzi hapa kwenye Vikao vya Chadema makao makuu kuna Mjumbe alisimama na kushauri cc na Mbowe angalau Waikumbuke Familia ya Marehemu Chacha Wangwe japo hata kwa Msaada kidogo tu ! Majibu aliyopewa na Mbowe hakuyatarajia na mpaka sasa anajuta Kutoa maoni kwenye kikao hicho kwani tayari Mbowe ameanza Kumchukia na Huenda akina Deus Malya na Wenzake wakaanza kumfuatilia kimtindo inasemekana Mbowe huwa Hataki kulisikia jina la Chacha Wangwe likitajwa popote alipo na kila mwanachadema wa Makao makuu analitambua hilo
 
Wanazidi kuangukia pua, ilianzia kiembe samaki
 
Haya ni manyang'au yaliyovaa ngozi ya kondoo
 
Hakuna lolote mnaleta propaganda tuuu chadema wanazidi kugain kuliko kuloose ccm ndo wanazidi kupungua fanya analysis utagundua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom