Mzimu wa Hamad Rashid: CUF Mwanza yameguka, zaidi ya wanachama 1,000 wajitoa

Wahame tu, si wenye chama washasema CUF ni kwa ajili ya maslahi ya Pemba + Unguja. Watu wa Mwanza akiwahusu.
 
Hakitungwi kitu hapa yegella....muulize hata mpemba mbishi atakupa data......ww subiri tu kesho nahisi utasikia zaidi ya hiyo.......mjini hapa......nasikitikia tu hawa jamaa wa cuf.......kujenga wamejenga pamoja then ghafla ooh!! Tunatoa uozo.......
Leo hii Jusa anadai Hamad Rashid Ni uozo?!! Kwa taarifa yake na wooote wanaodhani hvyo imekula kwao kwani uozo ndio utakao baki ndani na wasafi ndo hivyoooo tena wanatoka tartiiiiiibu.

Hivi hile kesi yake kule mahakamani ilimalizika! Naona palisemwa mwaka huu watu wengi wataumbuliwa na HR kwa kesi hile! Kama kuna wafuasi wa Hamad Rashid hapa mwambieni zile taka taka alizowapa watu hapa jimboni kwake zimesharejeshwa kwa mzazi wake. Teh teh teh, chezea wapemba weweeeee! Kama huwajui utapata tabu sana.
 
akina Jussa hili halita asumbua kwani hawana mpango na bara kabisa wao wanahangaikia Wawi ingekua ni huko ungesikia reaction yake
 
utahangaika sana....hujamalizana na tibaijuka, ushahamia huku.
Cheap, bei ya kongoro.

Naona kule kwa Tibaijuka nimewapa makombora mawili mazito mumeshindwa kujibu hoja na badala yake watu wamepagawa na kuanza kunishambulia mimi binafsi! Na hapa nawavuta vuta wajae niwatafutie nyuzi mbili za maana ili wasepe!
 
SIRI YA HAMAD RASHID
KUIVURUGA CUF SASA
KUFICHUKA Written by Ahmed Omar
Khamis // 05/01/2012
// Makala/Tahariri //
16 Comments Historia ya Zanzibar ni
ndefu sana katika dunia.
Tunaweza kusema pia
tarikh ya Zanzibar
imechukua muda mrefu
kuenea katika ulimwengu.
Wanahistoria
mbalimbali na hata wa
wagunduzi wa
kimataifa wameandika
mambo mengi na vitabu vingi tofauti
tokea mwaka 1980
lakini vyote
ukivitizama, ukivusoma
na ukiunganisha
maudhui yake vinakupa ishara ya kuviona
visiwa vya Zanzibar ni
katka visiwa vichache
vilivyo duniani vilivyo
na umaarufu,
usataarabu na uwelewa wa mambo kwa watu
wake. Historia hiyo hiyo
haikuwacha
kuwazungumza
wakaaji, wenyeji au
wazaliwa wa visiwa hivi kwa mapana na
marefu kiasi ambacho
imeonyeshwa kwenye
maandiko mengi kama
wenyeji wa visiwa hivi
ni watu walio makini, mahodari, wazalendo
na wafuatiliaji na
wapambanaji. Kwa mtiririko huu ndio
tunapoona
mampambano
yameanza mbali tokea
hata kabla ya Mreno,
kuja kwa Mreno, kung’olewa kwa Mreno,
na mapambano
mbalimbali hii yote
ikionyesha ushujaa wa
watu wa visiwa hivi
kutetea haki zao. Zama hizo zilipokwisha zama
za kisiasa ziliingia
kuanzia miaka ya 1957.
Siasa ziliingia katika
miaka hiyo na
zikashamiri katika visiwa vya Unguja na
Pemba. Kwa kuwa siasa
ilishamiri basin a fitna
na khiana nazo
zilichukua nafasi yake
nazo zikawa sehemu ya harakati hizo za siasa.
Matokeo yake yakawa
ni mapambano ya ndani
yaliyochukua sura ya
chuki na kupambana
wenyewe kwa wenyewe hadi
kupelekea kupotea kwa
maisha ya watu wengi
na wengi wao wakiwa
hawana hatia. Haya yote yametendeka
kwa kuwa tu baadhi ya
wahusika walisimamia
zaidi ubinafsi wao
kuliko maslahi ya
wengi. Mduara huu uliozunguka visiwa hivi
uliviathiri na
kuvipotezea watu
wengi maisha yao.
Wenine wengi
wakahama nchi yao wanayoipenda na
kusambaa katika kila
pembe ya ulimwengu
kwenda kuhuisha uhai
wao na hata kufikia
kusahau kwao kwenye asili yao, kulikofukiwa
vitovu vyao na vya
wazee wao. Hawana
lawama kwani si
makosa yao bali ni
makosa ya ubinafsi na khiana za wenye tama. Nimeanza na utangulizi
huu kwa lengo la
kukumbusha ili
tunapoamua kujadili
mambo, matokeo au
watu mbali mbali kwa nafasi zao za utumishi
wa kinchi au wa kisiasa
tunapaswa turudi
nyuma kwenye historia
yetu ili kwanza
kujiangalia na halafu twende mbele kwa
kufanya maamuzi
yenye busara.
Vinginevyo pasi na
uangalifu wa kupima
kwa mezani iliyo sawa tutakuja kujikuta
tunashabikia mambo na
kuyamini mambo hayo
kinyume na uhalisia
wake. Hali hii ni kama hivi
sasa miongoni mwetu
tunavyoliona na
kulitazama hili sakata la
kufukuzwa Hamad
Rashid katika chama cha CUF kwa mtazamo
ulio mwepesi na
kuvutwa na upepo wa
hadaa za mwanasiasa
aliyejiandaa kutizama
ubinafsi wake kuliko dhamira ya kweli ya
mapambano
iliyotegemewa
kuonyeshwa na
kusimamiwa na nafsi
yake. Hamad Rashid
Mohammed kwa
wakati ule, alikuwa ni
miongoni mwa vipenzi
vya rais wa Jamhuri ya
muungano wa Tanzania, Mwalimu
Julius K. Nyerere hata
kufikia kwa mwalimu
Nyerere kumpa nafasi
nyeti ya kuwa naibu
waziri wa fedha wa Jamhuri ya muungano
wa Tanzania. Bila shaka
alipata nafasi hii baada
ya kukubalika na idara
ya usalama wa taifa. Hata hivyo Hamad
Rashid alijiunga na
mapambano ya kudai
haki za Zanzibar katika
Jamhuri ya muungano
wa Tanzania akiwa ndani ya CCM pamoja na
Maalim Sei.. Jambo hili
llipeleea kufukuzwa
katika system ya chama
cha CCM yeye, Maalim
Seif na wenzao wengine wakipewa
muda mdogo kujitetea
na hapohapo hukumu
kufuata. Alijiunga na vugu vugu
la kudai heshima na
haki ya Zanzibar ndani
ya muungano kabla ya
kuundwa kwa vyama
vingi vya siasa katika miaka ya 1980.
Alishiriki katika kuasisi
chama cha CUF mwaka
1992 na vugu vugu lake
kubwa lililopelekea
watu kuteswa, kufukuzwa makazini,
kufungwa na kuuliwa. Katika uchaguzi wa
mwanzo wa vyama
vingi 1995 ambao
chama cha CUF kilikuwa
kikitarajiwa sana
kutwaa serikali ya Zanzibar, Hamad Rashid
aligombea uwakilishi
kwa matarajio ya kuwa
waziri wa serikali ya
Zanzibar. CUF imekuwa
ikinyimwa ushindi wake Zanzibar kwa
ubabe unaofanywa na
serikali ya Jamhuri ya
Muungano kwa kuwa
ilifahamika chama cha
CUF lengo lake ni kurudishwa kwa dola
ya Zanzibar. Baada ya
kuuona muelekeo wa
siasa za Zanzibar wa
kuporwa ushindi kila
baada ya uchaguzi kwa nafasi ya urais aliamua
kugombea ubunge
katika uchaguzi wa pili
uliofuatia wa mwaka
2000. Aliendelea kuwa
mbunge hadi muda huu anafukuzwa katika CUF. Mwaka 2009, Maalim
Seif na Rais mstaafu
Amani Karume walileta
maridhiano ya
wazanzibari
yaliyopelekea kwa mara ya mwanzo kufanyiwa
marekebisho ya katiba
ya Zanzibar yaliyotamka
kuwa Zanzibar ni nchi
na kuweka msimamo
wa kuyaondoa mafuta katika orodha ya
mambo ya muungano.
Baada ya kumalizika
uchaguzi mkuu wa
2010 serikali ya umoja
wa kitaifa Zanzibar iliundwa. Hamad Rashid
alitegemea kupata
nafasi ya uwaziri katika
serikali ya umoja wa
kitaifa kwa kuteuliwa
kuwa mwakilishi. Bahati mbaya Hamad
Rashid hakuteuliwa
kuwa waziri na hivyo
suala hili
halikumfurahisha. Serikali ya Jamhuri ya
muungano ilimteua
Hamad Rashid
kuliwakilisha bunge la
Tanzania katika bunge
linaloziwaklisha nchi za jumuiya ya madola,
commonwealth
Parliamentary Assembly
(CPA) akiwa ni mbunge
wa bunge hilo na
makamo mwenyekiti wa kamati ya fedha ya
bunge hilo. Nafasi hiii
alikuwa ameishika kwa
muda mrefu mbunge
wa CCM, Bwana
Mporonyoki. Nafasi hii ni nyeti na kakatifu
hapewi mtu isipokuwa
anaeaminiwa na CCM.
Jambo hili lilimnyima
Hamad Rashid muda wa
kuwepo bungeni na kulitumikia bunge
ipasavyo. Hivi tujiulize msingi wa
mapambano ya Hamad
Rashid ndani ya CUF
ameutoa wapi ghafla?
Kwa nini basi iwe ni
ndani ya kindi hichi ambacho chama
kinajipanga na
mchakato wa katiba
mpya ambao ndio
msingi mkuu wa
kuundwa kwa CUF? Jee hivi kweli agenda yake
ya mapambano ni
kwamba Maalim Seif
anakiuwa chama?
Kwamba matawi ya CUF
hayafunguliwi? Kwamba Maalim Seif
hafanyi ziara Tanzania
bara? Kwamba Maalim
Seif hakushiriki
kampeeni za CUF bara? Hivi karibuni Hamad
Rashid ameuthibitishia
umma wa watanzania
msimamo wake mpya
juu ya mustakbala wa
muungano kinyume na msimamo wake ule
aliofukuziwa katika CCM
na akashiriki kuunda
CUF. Msimamo ambao
ndio msingi wa
mapambano ya wadai haki wa Zanzibar pale
alipoulizwa na
kutakiwa na mwandishi
wa Star TV atoe
msimamo wake thabit
juu ya muungano tulionao anauonaje, na
ana maoni gani juu ya
marekebisho ya katiba.
Jawabu yake ilikuwa ni
kwamba anaamini
umoja ni nguvu utengano ni udaifu. Na
yeye mara zote amekua
akisimama katika
umoja. Wa bara
wanaishi Zanzibar na
wa Zanzibar wanaishi bara, hivyo ni jambo la
kuendelezwa. Kero
anayoiona yeye katika
muungano ni kwamba
mpaka leo hakuna tume
ya pamoja ya fedha, jambo ambalo
lingeweza kuondoa
kero ndogo ndogo
zilizopo. Hivi ni kweli
Hamad Rashid
alifukuzwa katika CCM kwa kuwa kulikosekana
tume ya pamoja ya
fedha? Hivi kweli
Hamad Rashid alikubali
kuachishwa kuwa naibu
wazri wa fedha wa Jamhuri ya muungano
kwa kukosekana tume
ya pamoj ya fedha?. Hivi
ni kweli tatizo na kero
za Zanzibar katika
muungano ni kukosekana kwa tume
ya pamoja ya fedha? Hii
ndio ile khiana
tulioizungumzia kule
mwanzo. Hamad Rashid
amethibitika sasa hasimami tena katika
ile misingi mikuu ya
wazanzibari ya kudai
haki, hadhi na heshma
ya Zanzibar katika
muungano. Tokea alipoanza kuvitawala
vyombo vya habari kwa
kuibua kwake madai
dhidi ya CUF hajawahi
kusikika kutumia nafasi
hiyo kukosoa mfumo wa muungano au
kuzizungumzia shida za
wazanzibari katika
muungano huu. Hivi karibuni Maalim
Seif aliitisha Mkutano
wa Hadhara kibanda
maiti Unguja wenye
lengo la
kuwafahamisha wazanzibari juu ya
mambo muhimu ya
kuzingatiwa wakati wa
mchakato wa katiba
mpya ikiwemo nafasi,
heshma na hadhi ya Zanzibar katika katiba
mpya. Hamad Rashid
amejitokeza na kutoa
machapisho kuhoji
uhalali wa Maalim Seif
kutoa maelekezo hayo, hasa katika kipengele
cha Zanzibar kuwa na
benki kuu yake na
sarafu yake. Pia pale
Maalim Seif aliposema
kama ni serikali mbili basi kila mmoja na
yake. Lengo lake ni
kujaribu kuonyesha
kwamba Maalim Seif ni
hatari (threat) ndani ya
Serikali ya Zanzibar. Hii ndio ile khiana
tulioisema mwanzoni.
Kuzusha mgogoro huu
ni khiana yake katika
kufikia lengo lake.
Sayyidna Ali (AS) anasema, “asiyeweza
kuficha siri yake hawezi
kuficha ya wengine,
watu wanafiki
hujipamba kwa uongo.
Achukiza sana mtu mwenye nyuso mbili”.
Lakini sasa mma
umeshafahamu, khiana
haina tena nafasi.
Forward forever!
Backword never!
 
akina Jussa hili halita asumbua kwani hawana mpango na bara kabisa wao wanahangaikia Wawi ingekua ni huko ungesikia reaction yake

WAWI subiri jumapili hii Mhe. Hamad Rashid anaenda kuwanyamazisha wamezidi kuchonga hawa.....sasa subirini muone ukweli. Sio mambo Yao Yale ya kukodi malori eti oooh! Hatakiwi JIMBONI.
sawa sawa na timu yake wajiandae....nawahakikishia kuwaletea yatakayojiri Huko JIMBONI WAWI.....jamaa walivyowabishi Kama watachonga baada ya hapo Dah!! Itabidi tuwatafutie mji...
 
Mimi nadhani watajiunga na CCM A2 aka CHADEMA, na kabla ya kujiunga itawabidi wakaonane na mukubwa wa Magwanda ili awafungishe safari hadi Magogoni wakapate Baraka za Mkuu wa kaya kwani naona CHADEMA wameshakua watoto wa Ikulu; wanaingia hadi usiku sasa!

Hivi ikulu ni ya nani?
 
SIRI YA HAMAD RASHID
KUIVURUGA CUF SASA
KUFICHUKA Written by Ahmed Omar
Khamis // 05/01/2012
// Makala/Tahariri //
16 Comments Historia ya Zanzibar ni
ndefu sana katika dunia.
Tunaweza kusema pia
tarikh ya Zanzibar
imechukua muda mrefu
kuenea katika ulimwengu.
Wanahistoria
mbalimbali na hata wa
wagunduzi wa
kimataifa wameandika
mambo mengi na vitabu vingi tofauti
tokea mwaka 1980
lakini vyote
ukivitizama, ukivusoma
na ukiunganisha
maudhui yake vinakupa ishara ya kuviona
visiwa vya Zanzibar ni
katka visiwa vichache
vilivyo duniani vilivyo
na umaarufu,
usataarabu na uwelewa wa mambo kwa watu
wake. Historia hiyo hiyo
haikuwacha
kuwazungumza
wakaaji, wenyeji au
wazaliwa wa visiwa hivi kwa mapana na
marefu kiasi ambacho
imeonyeshwa kwenye
maandiko mengi kama
wenyeji wa visiwa hivi
ni watu walio makini, mahodari, wazalendo
na wafuatiliaji na
wapambanaji. Kwa mtiririko huu ndio
tunapoona
mampambano
yameanza mbali tokea
hata kabla ya Mreno,
kuja kwa Mreno, kung'olewa kwa Mreno,
na mapambano
mbalimbali hii yote
ikionyesha ushujaa wa
watu wa visiwa hivi
kutetea haki zao. Zama hizo zilipokwisha zama
za kisiasa ziliingia
kuanzia miaka ya 1957.
Siasa ziliingia katika
miaka hiyo na
zikashamiri katika visiwa vya Unguja na
Pemba. Kwa kuwa siasa
ilishamiri basin a fitna
na khiana nazo
zilichukua nafasi yake
nazo zikawa sehemu ya harakati hizo za siasa.
Matokeo yake yakawa
ni mapambano ya ndani
yaliyochukua sura ya
chuki na kupambana
wenyewe kwa wenyewe hadi
kupelekea kupotea kwa
maisha ya watu wengi
na wengi wao wakiwa
hawana hatia. Haya yote yametendeka
kwa kuwa tu baadhi ya
wahusika walisimamia
zaidi ubinafsi wao
kuliko maslahi ya
wengi. Mduara huu uliozunguka visiwa hivi
uliviathiri na
kuvipotezea watu
wengi maisha yao.
Wenine wengi
wakahama nchi yao wanayoipenda na
kusambaa katika kila
pembe ya ulimwengu
kwenda kuhuisha uhai
wao na hata kufikia
kusahau kwao kwenye asili yao, kulikofukiwa
vitovu vyao na vya
wazee wao. Hawana
lawama kwani si
makosa yao bali ni
makosa ya ubinafsi na khiana za wenye tama. Nimeanza na utangulizi
huu kwa lengo la
kukumbusha ili
tunapoamua kujadili
mambo, matokeo au
watu mbali mbali kwa nafasi zao za utumishi
wa kinchi au wa kisiasa
tunapaswa turudi
nyuma kwenye historia
yetu ili kwanza
kujiangalia na halafu twende mbele kwa
kufanya maamuzi
yenye busara.
Vinginevyo pasi na
uangalifu wa kupima
kwa mezani iliyo sawa tutakuja kujikuta
tunashabikia mambo na
kuyamini mambo hayo
kinyume na uhalisia
wake. Hali hii ni kama hivi
sasa miongoni mwetu
tunavyoliona na
kulitazama hili sakata la
kufukuzwa Hamad
Rashid katika chama cha CUF kwa mtazamo
ulio mwepesi na
kuvutwa na upepo wa
hadaa za mwanasiasa
aliyejiandaa kutizama
ubinafsi wake kuliko dhamira ya kweli ya
mapambano
iliyotegemewa
kuonyeshwa na
kusimamiwa na nafsi
yake. Hamad Rashid
Mohammed kwa
wakati ule, alikuwa ni
miongoni mwa vipenzi
vya rais wa Jamhuri ya
muungano wa Tanzania, Mwalimu
Julius K. Nyerere hata
kufikia kwa mwalimu
Nyerere kumpa nafasi
nyeti ya kuwa naibu
waziri wa fedha wa Jamhuri ya muungano
wa Tanzania. Bila shaka
alipata nafasi hii baada
ya kukubalika na idara
ya usalama wa taifa. Hata hivyo Hamad
Rashid alijiunga na
mapambano ya kudai
haki za Zanzibar katika
Jamhuri ya muungano
wa Tanzania akiwa ndani ya CCM pamoja na
Maalim Sei.. Jambo hili
llipeleea kufukuzwa
katika system ya chama
cha CCM yeye, Maalim
Seif na wenzao wengine wakipewa
muda mdogo kujitetea
na hapohapo hukumu
kufuata. Alijiunga na vugu vugu
la kudai heshima na
haki ya Zanzibar ndani
ya muungano kabla ya
kuundwa kwa vyama
vingi vya siasa katika miaka ya 1980.
Alishiriki katika kuasisiK
chama cha CUF mwaka
1992 na vugu vugu lake
kubwa lililopelekea
watu kuteswa, kufukuzwa makazini,
kufungwa na kuuliwa. Katika uchaguzi wa
mwanzo wa vyama
vingi 1995 ambao
chama cha CUF kilikuwa
kikitarajiwa sana
kutwaa serikali ya Zanzibar, Hamad Rashid
aligombea uwakilishi
kwa matarajio ya kuwa
waziri wa serikali ya
Zanzibar. CUF imekuwa
ikinyimwa ushindi wake Zanzibar kwa
ubabe unaofanywa na
serikali ya Jamhuri ya
Muungano kwa kuwa
ilifahamika chama cha
CUF lengo lake ni kurudishwa kwa dola
ya Zanzibar. Baada ya
kuuona muelekeo wa
siasa za Zanzibar wa
kuporwa ushindi kila
baada ya uchaguzi kwa nafasi ya urais aliamua
kugombea ubunge
katika uchaguzi wa pili
uliofuatia wa mwaka
2000. Aliendelea kuwa
mbunge hadi muda huu anafukuzwa katika CUF. Mwaka 2009, Maalim
Seif na Rais mstaafu
Amani Karume walileta
maridhiano ya
wazanzibari
yaliyopelekea kwa mara ya mwanzo kufanyiwa
marekebisho ya katiba
ya Zanzibar yaliyotamka
kuwa Zanzibar ni nchi
na kuweka msimamo
wa kuyaondoa mafuta katika orodha ya
mambo ya muungano.
Baada ya kumalizika
uchaguzi mkuu wa
2010 serikali ya umoja
wa kitaifa Zanzibar iliundwa. Hamad Rashid
alitegemea kupata
nafasi ya uwaziri katika
serikali ya umoja wa
kitaifa kwa kuteuliwa
kuwa mwakilishi. Bahati mbaya Hamad
Rashid hakuteuliwa
kuwa waziri na hivyo
suala hili
halikumfurahisha. Serikali ya Jamhuri ya
muungano ilimteua
Hamad Rashid
kuliwakilisha bunge la
Tanzania katika bunge
linaloziwaklisha nchi za jumuiya ya madola,
commonwealth
Parliamentary Assembly
(CPA) akiwa ni mbunge
wa bunge hilo na
makamo mwenyekiti wa kamati ya fedha ya
bunge hilo. Nafasi hiii
alikuwa ameishika kwa
muda mrefu mbunge
wa CCM, Bwana
Mporonyoki. Nafasi hii ni nyeti na kakatifu
hapewi mtu isipokuwa
anaeaminiwa na CCM.
Jambo hili lilimnyima
Hamad Rashid muda wa
kuwepo bungeni na kulitumikia bunge
ipasavyo. Hivi tujiulize msingi wa
mapambano ya Hamad
Rashid ndani ya CUF
ameutoa wapi ghafla?
Kwa nini basi iwe ni
ndani ya kindi hichi ambacho chama
kinajipanga na
mchakato wa katiba
mpya ambao ndio
msingi mkuu wa
kuundwa kwa CUF? Jee hivi kweli agenda yake
ya mapambano ni
kwamba Maalim Seif
anakiuwa chama?
Kwamba matawi ya CUF
hayafunguliwi? Kwamba Maalim Seif
hafanyi ziara Tanzania
bara? Kwamba Maalim
Seif hakushiriki
kampeeni za CUF bara? Hivi karibuni Hamad
Rashid ameuthibitishia
umma wa watanzania
msimamo wake mpya
juu ya mustakbala wa
muungano kinyume na msimamo wake ule
aliofukuziwa katika CCM
na akashiriki kuunda
CUF. Msimamo ambao
ndio msingi wa
mapambano ya wadai haki wa Zanzibar pale
alipoulizwa na
kutakiwa na mwandishi
wa Star TV atoe
msimamo wake thabit
juu ya muungano tulionao anauonaje, na
ana maoni gani juu ya
marekebisho ya katiba.
Jawabu yake ilikuwa ni
kwamba anaamini
umoja ni nguvu utengano ni udaifu. Na
yeye mara zote amekua
akisimama katika
umoja. Wa bara
wanaishi Zanzibar na
wa Zanzibar wanaishi bara, hivyo ni jambo la
kuendelezwa. Kero
anayoiona yeye katika
muungano ni kwamba
mpaka leo hakuna tume
ya pamoja ya fedha, jambo ambalo
lingeweza kuondoa
kero ndogo ndogo
zilizopo. Hivi ni kweli
Hamad Rashid
alifukuzwa katika CCM kwa kuwa kulikosekana
tume ya pamoja ya
fedha? Hivi kweli
Hamad Rashid alikubali
kuachishwa kuwa naibu
wazri wa fedha wa Jamhuri ya muungano
kwa kukosekana tume
ya pamoj ya fedha?. Hivi
ni kweli tatizo na kero
za Zanzibar katika
muungano ni kukosekana kwa tume
ya pamoja ya fedha? Hii
ndio ile khiana
tulioizungumzia kule
mwanzo. Hamad Rashid
amethibitika sasa hasimami tena katika
ile misingi mikuu ya
wazanzibari ya kudai
haki, hadhi na heshma
ya Zanzibar katika
muungano. Tokea alipoanza kuvitawala
vyombo vya habari kwa
kuibua kwake madai
dhidi ya CUF hajawahi
kusikika kutumia nafasi
hiyo kukosoa mfumo wa muungano au
kuzizungumzia shida za
wazanzibari katika
muungano huu. Hivi karibuni Maalim
Seif aliitisha Mkutano
wa Hadhara kibanda
maiti Unguja wenye
lengo la
kuwafahamisha wazanzibari juu ya
mambo muhimu ya
kuzingatiwa wakati wa
mchakato wa katiba
mpya ikiwemo nafasi,
heshma na hadhi ya Zanzibar katika katiba
mpya. Hamad Rashid
amejitokeza na kutoa
machapisho kuhoji
uhalali wa Maalim Seif
kutoa maelekezo hayo, hasa katika kipengele
cha Zanzibar kuwa na
benki kuu yake na
sarafu yake. Pia pale
Maalim Seif aliposema
kama ni serikali mbili basi kila mmoja na
yake. Lengo lake ni
kujaribu kuonyesha
kwamba Maalim Seif ni
hatari (threat) ndani ya
Serikali ya Zanzibar. Hii ndio ile khiana
tulioisema mwanzoni.
Kuzusha mgogoro huu
ni khiana yake katika
kufikia lengo lake.
Sayyidna Ali (AS) anasema, "asiyeweza
kuficha siri yake hawezi
kuficha ya wengine,
watu wanafiki
hujipamba kwa uongo.
Achukiza sana mtu mwenye nyuso mbili".
Lakini sasa mma
umeshafahamu, khiana
haina tena nafasi.
Forward forever!
Backword never!

Ubarikiwe saaana kwa Makala Yako ndeeeefu iliyopikwa kwa uzushi na jitihada ukubwa za kujaribu kumchafua HR...Sina haja sana kupishana na ww ila tu unaonyesha ile dhambi na we imekutafuna.
just 2remind u mwaka 2000 unaodai Hamad Rashid aligombea Ubunge alikuwa Jela tangu 1997 na 2001 baada ya kutoka ndio aliteuliwa na Rais Ben Mkapa......kwa point hii tu sidhani Kama kuna sababu ya ku coment zaidi ktk Makala Yako na ndio NINYI mnaofuja maandiko ya dini pretending that Ni waumini wa dhati Kumbe Fitna na husda zimewajaa mioyoni mwenu.
 
WAWI subiri jumapili hii Mhe. Hamad Rashid anaenda kuwanyamazisha wamezidi kuchonga hawa.....sasa subirini muone ukweli. Sio mambo Yao Yale ya kukodi malori eti oooh! Hatakiwi JIMBONI.
sawa sawa na timu yake wajiandae....nawahakikishia kuwaletea yatakayojiri Huko JIMBONI WAWI.....jamaa walivyowabishi Kama watachonga baada ya hapo Dah!! Itabidi tuwatafutie mji...

Hamad Rashid Jumaapili anakuja kufanya nini hapa Wawi! Hawezi kuitisha mkutano kwa kwani sio mwanachama tena na zaidi kesi yake ipo mahakamani, wewe hujasikia kama ngedere wake walitaka kufanya mkutano lakini Polisi hawajawapa kibali kwani walipeleka barua ya kuomba kufanyika mkutano lakini haikua na muhuri wa Chama, na mara ya pili walijaribu kupeleka yenye muhuri wa Sheha lakini pia walikataliwa kwani barua ya kuomba kufanyika mkutano wa chama ni lazima iwe na muhuri wa chama husika. Mfa maji haachi kutapatapa. Chezeaa Wapemba weweeeeeeeeeee!
 
Hamad Rashid Jumaapili anakuja kufanya nini hapa Wawi! Hawezi kuitisha mkutano kwa kwani sio mwanachama tena na zaidi kesi yake ipo mahakamani, wewe hujasikia kama ngedere wake walitaka kufanya mkutano lakini Polisi hawajawapa kibali kwani walipeleka barua ya kuomba kufanyika mkutano lakini haikua na muhuri wa Chama, na mara ya pili walijaribu kupeleka yenye muhuri wa Sheha lakini pia walikataliwa kwani barua ya kuomba kufanyika mkutano wa chama ni lazima iwe na muhuri wa chama husika. Mfa maji haachi kutapatapa. Chezeaa Wapemba weweeeeeeeeeee!

Kifupi Ni kwamba jumapili.......Onyesha uzalendo wako utujuze yatakayojiri Huko WAWI.
 
Back
Top Bottom