singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Hayo maneno yenu ya kujiliwaza na kujifariji.MIMI NAAAMINI LOWASSA NDIYE ALIYELETA MABADILIKO HAYA ANAYOFANYA MAGUFULI, BILA TEAM LOWASSA KUWA NGANGARI MEMBE ANGEKUWA RAIS, NA NCHI INGEFILISIKA KABISA
Si angeyafanya kipindi akiwa waziri mkuu,!?! badala akajikita kuliibia taifaMIMI NAAAMINI LOWASSA NDIYE ALIYELETA MABADILIKO HAYA ANAYOFANYA MAGUFULI, BILA TEAM LOWASSA KUWA NGANGARI MEMBE ANGEKUWA RAIS, NA NCHI INGEFILISIKA KABISA