Dindilimunyo
Senior Member
- Sep 12, 2016
- 108
- 206
Izi timu za kijinga sana zinatakiwa zife ila pia radio zetu ziache kupiga nyimbo za nigeria sana maana zinakuza mziki wao sana km wao wanavyochugua nyimbo mmoja kupiga na sie ivyo ivyo tufanyeWakuu habari nimekuwa naangalia tuzo za Mama Mtv leo. Tanzania ni nchi pekee iliyokuwa na wasanii6 kwenye hizo tuzo lakini cha ajabu tumekosa zotee! Nilicho jifunza mambo ya Team na u team fula mara team fulani yanagawa Kura kwa wasanii wetu! Mwishowe hatufanyinvizuri kwamfano kama Alikiba angehamasisha Watu wake wapige kura kwenye Category za Diamond ambazo yeye hashiriki na Diamond th same ange fanya hivyo tungeshinda! Nadhani sasa ni wakati wa vyombo vya habari nawatu wenye ushawishi mkubwa kumaliza hizi bifu za kijinga zinazo tushusha! Naomba kuwakilisha
Samahani kiongozi Kiba huwa anamtaja diamond kati yapi!? Nahisi na wewe ndo wale wale katika mitimu yenuTabu wasio na kazi wala fikra ndio wanakuza, pia Kiba aache kumtaja Diamond. Yaani wawe kama Nigerians wengi wao wote wanavuta pesa na wanaishi na kufanya kazi kivyao.
Timu zipo hata kwa big stars duniani kuendeleza wanaomshabikia na wengine wawapendao.
Tabu ya nchini kubwa ni watu kuonea wengine wanaojiendeleza WIVU.
Hata hasiye kwenye muziki wanajaa WIVU
Hata uishi maisha sio star nchini WIVU unaingia wengi waone umeshuka, badala ya kutaka kujua umefikaje ulipo nao wafike au wakupite.
Hapo umemaliza kila kitu mkuu walioshinda walistahili bac.hakuna cha uteam hapa!
waliostahili wameshinda kiuhalali kabsa, tujipange tu awamu ijayo.
Samahani kiongozi Kiba huwa anamtaja diamond kati yapi!? Nahisi na wewe ndo wale wale katika mitimu yenu
Mimi si shabiki wa mziki wa sasa. Huyu dogo ukimsikiliza akihojiwa akigusiwa kuhusu Diamond utamsikia majibu yake ovyo ovyo. Juzi juzi namsikia akilalama eti meneja wa Diamond kafanya njama asitumbuize Mombasa akazimiwa kipazasauti. Hivyo hashindani kufanya muziki ila anashindana na Diamond na siku Diamond akiporomoka na yeye atapotea kabisa maana ndie anashindana nae.Samahani kiongozi Kiba huwa anamtaja diamond kati yapi!? Nahisi na wewe ndo wale wale katika mitimu yenu
Kushindana kwenye mambo ya kimaendeleo sio vibaya,ila kuharibiana kazi kwa chuki na wivu sio jambo jema.Mimi si shabiki wa mziki wa sasa. Huyu dogo ukimsikiliza akihojiwa akigusiwa kuhusu Diamond utamsikia majibu yake ovyo ovyo. Juzi juzi namsikia akilalama eti meneja wa Diamond kafanya njama asitumbuize Mombasa akazimiwa kipazasauti. Hivyo hashindani kufanya muziki ila anashindana na Diamond na siku Diamond akiporomoka na yeye atapotea kabisa maana ndie anashindana nae.
Hivi ni kwa nini Ali Kiba na team yake wanalazimisha kuonekana kama ndiye mshindani wa kweli wa Diamond? Ni nani anaemdanganya Ali Kiba na hiyo team yake hivyo?Mimi si shabiki wa mziki wa sasa. Huyu dogo ukimsikiliza akihojiwa akigusiwa kuhusu Diamond utamsikia majibu yake ovyo ovyo. Juzi juzi namsikia akilalama eti meneja wa Diamond kafanya njama asitumbuize Mombasa akazimiwa kipazasauti. Hivyo hashindani kufanya muziki ila anashindana na Diamond na siku Diamond akiporomoka na yeye atapotea kabisa maana ndie anashindana nae.
Nikiangalia jinsi Kiba na Timu yake wanavyohangaika kumshusha chini Diamond nafadhahika sana. Yote hiyo ni wivu na husda zilizopitiliza. Hivi Diamond akipata au kukosa, Kiba ameongeza au kupungukiwa na nini?Tabu wasio na kazi wala fikra ndio wanakuza, pia Kiba aache kumtaja Diamond. Yaani wawe kama Nigerians wengi wao wote wanavuta pesa na wanaishi na kufanya kazi kivyao.
Timu zipo hata kwa big stars duniani kuendeleza wanaomshabikia na wengine wawapendao.
Tabu ya nchini kubwa ni watu kuonea wengine wanaojiendeleza WIVU.
Hata hasiye kwenye muziki wanajaa WIVU
Hata uishi maisha sio star nchini WIVU unaingia wengi waone umeshuka, badala ya kutaka kujua umefikaje ulipo nao wafike au wakupite.
Na Kiba akipata Diamond anaongezewa au kupungukiwa nn?Nikiangalia jinsi Kiba na Timu yake wanavyohangaika kumshusha chini Diamond nafadhahika sana. Yote hiyo ni wivu na husda zilizopitiliza. Hivi Diamond akipata au kukosa, Kiba ameongeza au kupungukiwa na nini?
Hata huko nyuma tm zilikuweko na bado tuzo walibeba wa kubeba.Hapo umemaliza kila kitu mkuu walioshinda walistahili bac.
Hakuna kinachoongezeka zaidi ya kumpongeza kwa zuri alopataNa Kiba akipata Diamond anaongezewa au kupungukiwa nn?