Mziki wa Singeli Kimataifa vipi?

Mziki wa Singeli Kimataifa vipi?

geniusMe

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
1,311
Reaction score
1,787
South Africa siku hizi wanatrend na Amapiano Africa na dunia nzima hivi sisi tumeshindwa kuondoka na singeli kweli mpaka tunabaki ku copy vitu vya watu.

Natoa changamoto kuboresha mziki huu na amini watu wataupenda ukifanyiwa promo ya kutosha.
 
Yawe Yawe

Amapiano ndo habari ya mjini mkuu
Yaani ukisikiliza hata uwe na stress unasahau.

We endelea kumsikiliza "mzee wa bwax, mtoto wa nje ya ndoa.
Kisimu changu line 2 kinanisave bhana"
 
Sasa wewe mtu anaimba Mwaga maji tucheze kikambale, Nakukubali baharia wangu, amsha amsha, peperusha bendera, shika dera, mara wataje viungo vya uzazi, mara style za kukunjana..matusi matusi tuuuu

halafu unategemea tutoboe kimataifa?
 
Maneno ya kwenye singeli yana upumbavu mwingibna upuuzi
 
Sasa wewe mtu anaimba Mwaga maji tucheze kikambale, Nakukubali baharia wangu, amsha amsha, peperusha bendera, shika dera, mara wataje viungo vya uzazi, mara style za kukunjana..matusi matusi tuuuu

halafu unategemea tutoboe kimataifa?
Kuna tofauti gani ya kimaudhui na nyimbo za bongo flavor za kina konde genge na diamond?

Vijana wanakwenda na upepo wa soko unavyovuma pamoja na wanachokipenda hadhira.

Hata mapiano ikifasiriwa waweza kukuta ni chefu chefu pia.

Dunia imeharibika sana kimaadili mazee!
 
Jamani hata hiyo amapiano hakuna kitu cha msingi wanachoimba ni amsha amsha tu utakuta mwimbo dakika sita mtu kaimba sukunde 30 tu.
 
Kuna tofauti gani ya kimaudhui na nyimbo za bongo flavor za kina konde genge na diamond?

Vijana wanakwenda na upepo wa soko unavyovuma pamoja na wanachokipenda hadhira.

Hata mapiano ikifasiriwa waweza kukuta ni chefu chefu pia.

Dunia imeharibika sana kimaadili mazee!
OKAY KUMBE EE
 
Back
Top Bottom