daaa bora achukue yako mkuu, mimi nina laki 2!Kaka kula laki 3
Umevitumia kwa muda ganiSalaam wadau..nauza mziki wa gari Complete yaani Radio,booster na woofer.Radio ni Kenwood original inayocheza DVD.MP3.MP4 na USB drives...ni soft touch na inadivx.Booster ni ya inches 12 na woofer watts 1200.Nimevitumia kidogo.Bei ni laki 5 vyote.Kwa mawasiliano zaidi 0689900000View attachment 356798View attachment 356799View attachment 356800View attachment 356801View attachment 356803
Hiyo Redio ina nini kikubwa zaidi cha kuifanya iuzwe laki 6??pia nashukuru kwa offer zenu wakuu ila zipo chini sana kwani booster tupu nlinunua laki 190..woofer laki 1i0...radio laki 6
Umeshauza,km unavyo vingine ni pm mkuu,nahitajiHapana haina blue tooth ila ina USB na dvx mkuu