Mziki Mnene

Kitendo chakufanya tamasha bure teyali washashusha hadhi ya tamasha la so sishangae hayo mambo kutokea.
 
Matamasha ya bongo bado kabisa,hasa performance ya wasanii mara utasikia wanna sema "mikono juu " mara "every body say yeah" wanajisahau hata kuimba,huwa nachukiaga mpaka Basi,matamasha ya wenzetu huko mbele hamnaga Mambo Kama hayo.πŸ™‚πŸ™‚
 
Sio kweli hata mbele wanafanya hvyo ..usichokijua ni kua style ya performance wasanii wetu wameiga kutoka kwa wasanii wa marekani ... Japo sikatai ...Kuna show zao za live Ila backvoko hata wao wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Show ya kuenjoy ni ya bolingo tu. We si umeona hata ktk show ya wasafi watu walilipuka wimbo wa iyope tu.
 
Sio kweli hata mbele wanafanya hvyo ..usichokijua ni kua style ya performance wasanii wetu wameiga kutoka kwa wasanii wa marekani ... Japo sikatai ...Kuna show zao za live Ila backvoko hata wao wanafanya

Sent using Jamii Forums mobile app

Put your hands up za kibongo zinazidi,nilimuona nundy kwenye fiesta it was horrible πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…