habari zenu wakuu.kuna mzigo nimetumiwa kutoka Emirates kwa njia ya posta,naskia unaweza kuangalia kwenye net mzigo umefikia wapi,tafadhali naomba munijuze kuhusi hili
Umefikia kwenye sanduku la barua uliyoandika. Na bahati nzuri ulikosea ukaandika namba ambazo mmliki wake ni mimi. So mzigo ninao
Ametumia njia hipi?TNT,DHL,EMS au njia gani?
Nilaza hakupe zile no.ambayo unaweza kuingia kwenye web site husika kisha ukautrace utagundua umefika wapi
njia ya posta,na hizo namba nazo
hahhhahhaah siku maanisha hivyo,nlikukwa namaana destination iliopo,yaani sehemu gani ilipo sasa kabla ya kufika tz.
Email alikutumia huo mzigo akupe tracking URL, kwa kawaida anapopewa tracking number anapewa na tracking link
nimepata link ila kila nikiweka hizo number inagoma.au labda nimekosea nimeweka kwenye option ya TRACK AND TRACE.
Inategemea umetumia mbebaji gani?bt kwa posta ya tz lazima ifanye kolabo na posta au kampuni husika kutoka huko nje.kama umetumiwa na mtu huwa anapaswa akutumie tracking number mabazo nazo c kila tacking namba inakuwa acceptable every where!mf hk post wana tracking number zao na system zao za kutrack!china post na ni hivyo na fedex nao wana namba zao na systim yao..tracking nyingine huwa hazionyeshi mzigo ukiwa transit huonyesha tu mzigo unapotoka na ukifika destination,nyingine huonyesha tuu destination!kama umetumia fedex ndio utaona mpaka transit!kama umebuy online seller huwa anatuma hiyo tracking number na kampuni husika na system yake (website)..hapo kwa elimu yako..andika hapo umetumia kampuni gani kuagiza kutoka nje!au nenda posta sehemu ya vifurushi(sio ems) wenyewe wanaita bulk.wape hiyo tracking number pia wanaweza kukusaidia..
habari zenu wakuu.kuna mzigo nimetumiwa kutoka Emirates kwa njia ya posta,naskia unaweza kuangalia kwenye net mzigo umefikia wapi,tafadhali naomba munijuze kuhusi hili
Una tracking number?