ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
ushauri wa...?....well...nakuja sasa hivi....kuna wax...?
ushauri wa kuvaa vitenge na vitu mbalimbali.....lol
mmeshaanza kuwa na tabia za mafundi wa kushona nguo kushika shika wake zetu. Hala hala mti na jicho ha ha ha haUjue kila nguo na rangi yake pia na mtu mwenyewe alivyo au umbile la mtu husika
Kalibuni mje mjipatia vitu mbali mbali km vile vitenge toka Nigera,kongo nk tumezingatia ubora zaidi.tupo tunduma mbeya.pia kalibu kwa ushauli
mmeshaanza kuwa na tabia za mafundi wa kushona nguo kushika shika wake zetu. Hala hala mti na jicho ha ha ha ha
kalibu karibu,mugonile jomba
weka bei kila dara ja na bei yake siyo nije hadi tunduma nishindwe bei inakuwa so