Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 524 Reaction score 959 Nov 2, 2021 #1 WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629)
Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 524 Reaction score 959 Nov 2, 2021 Thread starter #3 Tegeta-Dsm mkuu
beatboi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 721 Reaction score 1,686 Nov 2, 2021 #4 nenda ruvu hapo utapata wa kutosha
Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 524 Reaction score 959 Nov 2, 2021 Thread starter #5 beatboi said: nenda ruvu hapo utapata wa kutosha Click to expand... Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, unayo?
beatboi said: nenda ruvu hapo utapata wa kutosha Click to expand... Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, unayo?
nelvine JF-Expert Member Joined Nov 8, 2015 Posts 1,114 Reaction score 1,879 Nov 2, 2021 #6 Nellyseven said: WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629) Click to expand... Dah yaan kuna msimu wa mvua kijijini kwetu uwa tunagawa tu maana hadi wana haribika
Nellyseven said: WapambanaJi.. Nahitaji samaka wabichi aina ya Kambale (ukubwa wowote). Kiasi chochote nahitaji, kuanzia kilo 100, 200, 500 n.k kwa bei ya jumla, Nahitaji kutoka kwa wavuvi.. Bei maelewano (0783343629) Click to expand... Dah yaan kuna msimu wa mvua kijijini kwetu uwa tunagawa tu maana hadi wana haribika
Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 524 Reaction score 959 Nov 2, 2021 Thread starter #7 Kijiji gan mkuu?
beatboi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 721 Reaction score 1,686 Nov 4, 2021 #8 Nellyseven said: Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, u Click to expand... Nellyseven said: Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, unayo? Click to expand... kwa kkusaidia panda gari za chalinze halafu ushuke ruvu darajani, pale ukiwa active utapata wadau wa kutosha
Nellyseven said: Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, u Click to expand... Nellyseven said: Ndo natafuta connection ya Ruvu mkuu, unayo? Click to expand... kwa kkusaidia panda gari za chalinze halafu ushuke ruvu darajani, pale ukiwa active utapata wadau wa kutosha
Ubungo Mataa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2018 Posts 524 Reaction score 959 Nov 4, 2021 Thread starter #9 beatboi said: kwa kkusaidia panda gari za chalinze halafu ushuke ruvu darajani, pale ukiwa active utapata wadau wa kutosha Click to expand... Asante sana mkuu.. Noted with thanks.
beatboi said: kwa kkusaidia panda gari za chalinze halafu ushuke ruvu darajani, pale ukiwa active utapata wadau wa kutosha Click to expand... Asante sana mkuu.. Noted with thanks.
beatboi JF-Expert Member Joined Mar 29, 2021 Posts 721 Reaction score 1,686 Nov 4, 2021 #10 Nellyseven said: Asante sana mkuu.. Noted with thanks. Click to expand... aina noma