mmmh.. document inaweza ikaandikwa kichina,ukatafuta mkalimani akakutafsiria ukaelewa whether uendelee kuchukua mzigo au la....ila ukiamua kukurupuka kuchukua mzigo bila kusoma hata document..utakuja kukutana na mzigo fake,au ulishaharibika...ikitokea umepata mzigo uliokua salama then heri.. Nashauri document kwanza then mzigo.