Weeeee kamata dawa,ewe unaesumbuliwa na ngiri,muwasho sehemu za sir*,mabaka ya ngozi eeeeh kamata dawa,wape dawa wape dawa,kamata dawa ewe mama..ewe baba kamata dawa inatibu nguvu za kiume,kuharisha,mapunye,muwasho,kamata dawa hii ni kiboko ya upele,utangotango,wachawi,majini wabaya..kama unasumbuliwa na wachawi na mashetwani weee acha kusubiri kamata dawa,kamata dawa
Alisikika muuza dawa za kienyeji ktk mitaa ya machinjioni,vingunguti
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.