MZiGO HUU HAPA

Toa details mkuu, picha ya ma.ta.ko haitoshi.
 
Hahaha.. Details ka zipi mkuu maana mi naami pic hua ina maneno mengi zaid.
 
Hahaha.. Details ka zipi mkuu maana mi naami pic hua ina maneno mengi zaid.

Ni kweli lkn kuna maswali ya msingi ambayo majibu unayo mfano;
-Ya mwaka gani?
-imetembea Km ngapi?
-Fuel consuption
-Transmission: manual /auto
-any other addition informational kumshawishi mnunuzi! za (ukweli lkn)
-
 
niko intrested naomba nitumie picha zaidi na namba yako ya simu au nitumie picha kwenye whatsapp 0682 786235
 
Maswali mengine ya kujiuliza, Je ni milango 3 au 5? Inatembea? Inapatikana wapi kwa mawasiliano yapi? Hebu dadavua plz
 
Piga picha nyingi kama vile engine,seats,dashbord,odometer,tires,ubavu na mbele then ntumie hapa kw whatsaap 0715248940
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…