gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,720 Feb 13, 2013 #2 ama kweli lazima iwe hivyo. tena huko ni Masama
akenajo JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 1,634 Reaction score 613 Feb 13, 2013 #3 ha ha ha ha ha
mdoe JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 433 Reaction score 103 Feb 13, 2013 #4 gfsonwin said: ama kweli lazima iwe hivyo. tena huko ni Masama Click to expand... most likely ni Masama au kibosho.
gfsonwin said: ama kweli lazima iwe hivyo. tena huko ni Masama Click to expand... most likely ni Masama au kibosho.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Feb 13, 2013 #5 Nimependa huo ujumbe kwenye hiyo gari.
A adolay JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 12,102 Reaction score 14,499 Feb 13, 2013 #6 mdoe said: most likely ni Masama au kibosho. Click to expand... He! mkuu kwanini isiwe muleba au tukuyu?
mdoe said: most likely ni Masama au kibosho. Click to expand... He! mkuu kwanini isiwe muleba au tukuyu?
W Whisper JF-Expert Member Joined Jun 2, 2009 Posts 502 Reaction score 207 Feb 13, 2013 #7 Kaka mmekosa wote. Ngoma ya Tukuyu - Mbeya, 109 ya mjomba wangu anawahi mnada kijiji cha ushirika. Ametokea Seme. Ngoma mpaka leo ipo inadunda kama mpya. Hakuna kusukuma, starter ikigoma tunapiga hendeli.
Kaka mmekosa wote. Ngoma ya Tukuyu - Mbeya, 109 ya mjomba wangu anawahi mnada kijiji cha ushirika. Ametokea Seme. Ngoma mpaka leo ipo inadunda kama mpya. Hakuna kusukuma, starter ikigoma tunapiga hendeli.
Mpita Njia Platinum Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,999 Reaction score 1,189 Feb 13, 2013 #8 Hivi dereva anaona mbele vizuri hapo?
HP1 JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 3,362 Reaction score 878 Feb 13, 2013 #9 Ubunifu wa kibongo
Mkatavimeo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2011 Posts 2,150 Reaction score 875 Feb 13, 2013 #10 Mandolini hiyo baba! Kwetu tunaiita Tindo! Balaa!
N Nasolwa JF-Expert Member Joined Jun 12, 2008 Posts 1,827 Reaction score 301 Feb 14, 2013 #11 Hawa wakipata ajali utawasikia wakisema ni mipango ya MUNGU wakati ajali wanaitafuta wenyewe