Mzigo huo, kazi kwenu

Mzigo huo, kazi kwenu

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Posts
5,980
Reaction score
3,115
Bei Tsh 30000, kwa walio Dar unaletewa hadi karibu na kwako, mikoani tunatuma ila gharama za usafirishaji ni juu yako.

Ni check whatsapp 0629 586817
 
Attachments

  • 1447945134849.jpg
    1447945134849.jpg
    92.6 KB · Views: 960
Ameeni,

Asante my mtumishi

ngoja ninunue, nikivaa tu, utaona mafuriko yake nchi nzma itakutafuta. unajua sisi watumishi kuna wkt huwa naenda kijiweni kuwahubiria Injili, Sasa Ni Vzr Uende Na Laba Ili Ufanane Nao, Wasipockia Neno, basi hata laba wataulizia tu.
 
Hapo umenena mtumishi. Hebu bubujisha baraka kwa biashara yangu hadi shetan ashangae
 
Hata mimi wa 47 nikitupia hizi nyayo lazima ning'are.
 
Hahaha,aisee vipo fresh sana.
Nikija nitakutafuta mjasiriamali mwenzangu.
Maana unaisaka pesa mpaka kusuka hutaki,umeona ukate nywele zoote,maana muda wa dressing table unachukua maisha yako.

Wengine tukinunua wadogo zetu wanajifanya wao wanajua kuvaa kuliko sie,kesho unakuta kaisha vitinga,aisee ukubwa jalala
 
Kwa iyo kutuma mpk hapa nilipo sh.ngp? ivyo vya kike mmmm!! cna wa kumpa

Sijajua magari yenu huko yanatozaje, ila huwa nachargiwa kulingana na thaman ya mzigo. Inaweza kuwa 5000
 
Hahaha,aisee vipo fresh sana.
Nikija nitakutafuta mjasiriamali mwenzangu.
Maana unaisaka pesa mpaka kusuka hutaki,umeona ukate nywele zoote,maana muda wa dressing table unachukua maisha yako.

Wengine tukinunua wadogo zetu wanajifanya wao wanajua kuvaa kuliko sie,kesho unakuta kaisha vitinga,aisee ukubwa jalala

Hahahahaha!!! Mweeee!! Umenionaje!! Nina wk mbili napaka mafuta ya kula nin kwenda salon.

Halafu acha visingizio, nunua nione kama mdogo wako atatokelezea navyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom