Mzee Yusuf sasa Jahazi ndani ya Dar es Salaam Ijumaa ya kuamkia 8/8


Acha tu wabongo wanafiki ,hivi wanajua njaa kweli? Kama mtu biashara zake zimekufa awamu hii ya 5 unategemea akale wapi wakati kipaji anacho? Yaani tuchuklie mfano tu(haitotokea lakini) kama wagombea wa ACT na CDM wakienguliwa ni Bora nimchague Queen Sendiga kuliko JIWE.
 
Naona wale jamii ya wakina delicious wamefurahi
Jhz kurudi, lini sijui atakuwepo travertine?

Ova
 
Tusipompigia Magufuli tumpigie nani?
 
Ok sawa!

Je amefanya research ya kutosha kama anapendwa au taarabu haijaathiriwa na bongo fleva kabla kufanya maamuzi ya kurudi?
Taarabu bado inapendwa sana has a huku kwetu mikoa ya pwani..
So mzee Yusuph mwenywe ndo aliikimbia fani, So naamini ujio wake bado atapata wafuasi wa nguvu.. Tazama tu toka mzee kaacha kuimba jinsi gani mziki was taarabu ulidorora
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…