ulisha muona wakati wa mazoezi? wenzake wanazunguka uwanja mala 8. yeye atazunguka 2 mala ya 3 atavua viatu na kubakia na socks mala ya nne atajifanya amekanyaga mwiba na kulala chini. mala asije mazoezi eti anaumwa ikifika usiku unamkuta travertine kaunga mduara kwenye show ya yusuph. wewe unaona poa?. Mia
Mia acha kunichekesha bwana, hadi nimekugongea LIKE......unajua inawezekana mie sijawaelewa bado mnachomaanisha, sasa kwanini alikuwa anachoka haraka??na huko kumharibu ni kupi hasa, hebu tuwekane wazi bwana mia
acha uongo wewe mwanamke mzuri anaraha yake bwana,nazungumzia uzuri wa sura,hasa unapotoka nae ni fahari yako mwanaume,haya ni maua jamani so lazima uchume ua lililo bora!
Maneno ya marehemu Marijani...anasema ..ukewenza kwenu nyinyi ni fahar,lakini kwetu sisi matatizo...ukitazama clip kwa makini unamuona huyu mke wa mwanzo katika clip MZEE YUSUPH anapoanza kumzungumzia mke wake wa pili anakosa amani kiasi fulani.
Mia acha kunichekesha bwana, hadi nimekugongea LIKE......unajua inawezekana mie sijawaelewa bado mnachomaanisha, sasa kwanini alikuwa anachoka haraka??na huko kumharibu ni kupi hasa, hebu tuwekane wazi bwana mia
anafanya asikae kambini, halafu haya mambo ya kuchomana hairuhusiwi unapokuwa kambini. inafanya mtu achoke halaka. kesho ntakuwekea picha za jerry uone. Mia
anafanya asikae kambini, halafu haya mambo ya kuchomana hairuhusiwi unapokuwa kambini. inafanya mtu achoke halaka. kesho ntakuwekea picha za jerry uone. Mia