Mzee WASIRA nae kuhojiwa

katalina

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2012
Posts
262
Reaction score
56
Sijaelewa, hivi huyu mzee nae kaishatanza kuwania nafasi ya ukubwa wa nchi. Uhusika wake ukoje mpaka na yeye ahojiwe. Mwenye majibu tafadhali.
 
Kwanza umemkosea adabu kwa kumuita Stephen mzee. mwombe msamaha kijana wa watu ndio tuendelee
 
Kwanza umemkosea adabu kwa kumuita Stephen mzee. mwombe msamaha kijana wa watu ndio tuendelee

Sijui kama umenielewa; kwa umri wake Stephen Wasira anastahili kupewa heshima ya Uzee. Kwa hiyo kumwita Mzee Wasira, nimemheshimu sana labda kama wewe ndo hukuelewa kwa kudhani hata neno 'Mzee' ni jina lake.
 
Angalia nywele zake zilivyo nyeusi huyu handsome future president kutoka Mara. sidhani kama amefika miaka arobaini na tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…