Mzee Wasira huyu hapa

Mzee Wasira huyu hapa

Wiki kadhaa zilizopita kuna watu walimmisi Mzee Wasira wakawa wanauliza Yuko wapi?

Leo kaibuka katika mkutano wa CCM huko Dodoma akiwa na nguvu zaidi, Ari zaidi na Kasi zaidi.

View attachment 3349906
Tangazo la chai jaba linaweza kuwa ni sura yake ila wakirudisha leo wanaweza kusema chai chaba wa 2025 ni yeye.
 
Lucas kwenye ID ya pili
Mimi na Lucas ni watu wawili tafauti sana!
Kwanza Lucas ana mfumo wake wa uandishi ambao mimi siwezi kumuiga.
Pili Lukas ni muwazi sana! Sioni kama anahitaji kuwa na ID ya pili kwakuwa hana anachoogopa!
Mimi niseme tu ni shabiki wa huyu mzee Wasira .
Ni katika wanasiasa wanaonivutia kuwafiatilia kutokana na kwamba pamoja na uzee wake bado ni hodari wa kujenga hoja zinazofanyamanzisha chadema.
Saluti kwa mzee Wasira.
 
So wewe ni chawa mzoefu au ndo unaanza
 
Kapona.?!!
Inasemekana alikuwa mahtuti.
Mzee Wasira alikuwa kwenye mapumziko ya kawaida , kwa ajili ya kuangalia mambo ya familia yake na shughuli zake binafsi.
Mtu huwezi kuwa kila siku upo kwenye majukwaa ya kisiasa bila kuwa na mda wa kuangalia familia na mambo mengine binafsi nje ya shughuli za kisiasa.
Hata RC wa Arusha P .Makonda kuna kipindi alienda likizo kukaa na familia yake watu wakazusha humu mitandaoni kuwa MTOTO PENDWA KALISHWA SUMU NA YUKO TAABANI HUKO SOUTH AFRICA ALIKOENDA KUTIBIWA.
Jamani wanasiasa sio maroboti.
Huwa wanahitaji muda wa kupumzika na hiyo haimaanishi kuwa ni wagonjwa!.
 
Back
Top Bottom