Mpeleke hospital haraka sana, Kila siku naongea hapa jamani hebu badala ya kuja hapa kuomba ushauri/kutafuta solution tuwapeleke wagonjwa hospital kwanza alafu akishapata tiba na tiba ikishindikana ndio tuje tuombe ushauri. Nawaomba sana wanajamii woote, tubadilike.