Mzee wangu ananichanganya

Kwani ameambiwa asipofata ataadhibiwa?

Hakuna sharti hapo ni ushauri tu, kama hataki kufata ushauri wa baba yake basi.

Sio kumleta hapa kudhihakiwa.
hayo ni masharti siyo ushauri
 
Kwani ameambiwa asipofata ataadhibiwa?

Hakuna sharti hapo ni ushauri tu, kama hataki kufata ushauri wa baba yake basi.

Sio kumleta hapa kudhihakiwa.

Wanaodhihaki siwajibu kitu, wala dhihaka zao haziwezi kumfikia mzee. Ukidhihaki mzazi wa mwenzio dhihaka hurudi kwa mzazi wako. Na utakuwa unaonyesha upeo wako ulivyo finyu, na ni dalili ya kuwa huheshim hata wazazi wako
 
Anakupa nafasi ya kuwa na wide choice. Usiogope kuchaguliwa mke kuna baraka zake na hasa kama anayekuchagulia ni baba.
 
Jaba-li,

Baba yako ni mchaga nini? Maana kuna thread fulani humu jamvini... i am smelling something fishy
 
Love should contribute to about 10% of your decision to marry someone!! Love is a result of a good marriage..
Ask yourself the following questions...(file attached)

note: If you want english version, plz pm!!!!
 

Attachments



Hahahahahahahaaaaa....we mzushi man...acha kumsingizia mshua kaka.......Amuinterview mke wa kuishi na mwanane??? why?? anyway Nimefurahi sana...thanx tena....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…