Mzee wakubadili gia angani

Huyu mzee nilimujeshimu sana.

Mbona anajidhalilisha sana aiseeeee

Taratibu naanza kuelewa tuhuma zake za kuwa pandikizi
 
Huyu mzee nilimujeshimu sana.

Mbona anajidhalilisha sana aiseeeee

Taratibu naanza kuelewa tuhuma zake za kuwa pandikizi
Na nyinyi Muachage usenge misiba haina itikadi za kisiasa.
 
Huyu mzee nilimujeshimu sana.

Mbona anajidhalilisha sana aiseeeee

Taratibu naanza kuelewa tuhuma zake za kuwa pandikizi
Kile chama kilichokuwa kinambna ni katiba,otherwise ingekuwa kama CUF
 
Sioni tatizo kwa yeye kwenda kumfariji. Siasa sio vita japo kuna watu wanaifanya vita kwa kufunga, kuteka na kuua wengine kisa tu hawana itikadi sawa na wao.
 
Huyu mzee nilimujeshimu sana.

Mbona anajidhalilisha sana aiseeeee

Taratibu naanza kuelewa tuhuma zake za kuwa pandikizi
Hujawahi kukaa jela alau usiku mmoja tu,, ongea utakavyo,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…